Sumsung galax na blackberry torch

Sumsung galax na blackberry torch

ngarambe

Senior Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
100
Reaction score
14
Naomba kujuzwa simu kali za zilizo kwenye chat kwa sasa maana nimeambiwa ni bb torch na sumsung galax je ni kweli? Na kama kweli ni ipi bomba zaidi. Asante.
 
Zote mbili ukipiga upande wa pili anapokea. Zaidi ya hapo wewe unataka bells and whistles gani kwenye simu? Manjonjo gani unataka tudadavue? Naweza kusema Galaxy ina GPS kumbe mtu unaishi huku Kijichi kwa mpika Gongo, hata kwenye ramani ya dunia bado hakujaingizwa, GPS ikiwashwa simu inakuwa confused ina freeze. Sasa sijui wewe unahitaji nini kwenye simu.
 
inategemea galaxy gani? Kuna galaxy aina kbao, galaxy note, galaxy mini, galaxy s1, galaxy s2 nk. Ila ukishafka kwenye galaxy s2 unazungumzia mkali zaid ya wote. Na pia galaxy s3 imezinduliwa pia. Napia binafsi siikubali os ya bbery
 
wabongo bwana eti wataalamu wa simu!oya home vp? Ratiba ya menu(msosi) inaeleweka,namaanisha watoto wanapishana toilate?
 
wabongo bwana eti wataalamu wa simu!oya home vp? Ratiba ya menu(msosi) inaeleweka,namaanisha watoto wanapishana toilate?

Wataalam wa simu?! Aa wapi! kuna lumpeni au profesa yeyoye wa tz alishawahi kudizaini simu ya mkononi? Hawanaga ubavu wa kuunda hata phillips savvy!!
 
I love ANDROID......

Nachukia blackbery, I hate.... Sitakiiiiijj

Natumia iPhone, it is not African friendly user!!!
Ningejua, nisingenunua!!!!!
 
Profesa wa Bongo anauza bia, anauza kitimoto na kufuga mbuzi, unategemea nini hapo?
Wataalam wa simu?! Aa wapi! kuna lumpeni au profesa yeyoye wa tz alishawahi kudizaini simu ya mkononi? Hawanaga ubavu wa kuunda hata phillips savvy!!
 
Profesa wa Bongo anauza bia, anauza kitimoto na kufuga mbuzi, unategemea nini hapo?

na ukiwapata wale walio endelea sana utawakuta wamejikita kwenye siasa za maji taka (ccm)
na kutuibia wananchi na kutuletea maisha magumu kwa kuingia mikataba feki na kufanya ufisadi
 
Back
Top Bottom