Huna lolote wewe unatafuta mawindo. Na hii kujifanya kuulizia saloon ya kike ni janja yako tu ya kuwaambia mazoba makware wewe mwanamkeMimi ni mgeni kdg moshi mjini na leo nitakua hapo naomba mnisaidie kwa maelekezo wapi nitapata huduma ya passport size za dakika tatu na huduma ya saloon nzuri ya kike. Naomba msaada tafadhali. Ni maeneo gani.
umtie kipara au umpige para mwambie aje matindigani pasua huku karibu na TpcTeh'teh' njoo kwny saloon yakunyoa maeneo ya hapa stand gorofani hapa nikutie kipara.