Recent content by NGANU

  1. NGANU

    JamiiForums Tanzania Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

    Kuna jamaa yangu alinitafuta zaidi ya siku nne nionane Kuna fursa, baada ya kwenda na kukuta Bango la qnet kubwa, nikajisemea moyoni angeniambia ni qnet hata nisingepoteza mafuta yangu, nikaona nijifunze Kwa kumuheshimu baada ya hapo sikuonekana tena, AHSANTE JF maana ndo niliona Uzi...
  2. NGANU

    JamiiForums Tanzania Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Pole Sana kiongozi Mungu awe mtetezi wako
  3. NGANU

    JamiiForums Tanzania Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

    Mara paaa #chizi maarifa katupia kitu
  4. NGANU

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake 18 wamekuwa mbuzi wa kafara

    Ugoro mtupu bora hujasoma
  5. NGANU

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo ashinda kwa TKO dhidi ya muargentina

    Ila itaba kabebwa halikuwa sio wa kuzidiwa point moja yule
  6. NGANU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya mdogo wa marehemu mke wangu na mchepuko wangu nimuoe nani?

    Toka 2015 mpaka Leo atakuwa alifanya maamuzi tayari mzee
  7. NGANU

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya English o level.

    Ngugu naombeni aliye na vitabu vya kiingereza soft copy vya o level anisaidie please. Kikiwemo the black hermit. Natanguliza shukrani.
  8. NGANU

    JamiiForums Tanzania Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Laki usawa huu, hata elfu kumi Ni shida Sent using Jamii Forums mobile app
  9. NGANU

    JamiiForums Tanzania Meya wa jiji la Tanga ametia aibu ya kuanzia mwaka

    Kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. NGANU

    JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Pole Sana mkuu, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. NGANU

    JamiiForums Tanzania Ndugu Wanajukwaa Kwa Yeyote Mwenye Uelewa wa Shule Ya Sangu Sec Jijini Mbeya,

    Msoto wa pale du Ni hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  12. NGANU

    JamiiForums Tanzania Hivi ili kiwango cha elimu nchini kiongezeke tunahitaji matamko?

    Nchi ya matamko, mtu akilala akiamka tamko Sent using Jamii Forums mobile app
  13. NGANU

    JamiiForums Tanzania Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    Kampuni za mabasi ya mikoani zinaandaliwa ko tuwe wavumilivu watanzania wenzangu
  14. NGANU

    JamiiForums Tanzania CCM wakiri kukosa matokeo waliyotarajia uchaguzi wa marudio Kinondoni

    Hawa watu ni hatari kwa ustawi wa demokrasia nchini
  15. NGANU

    JamiiForums Tanzania Mkimchagua huyu mbunge wangu, nitawaongeza kipande cha kilometa kumi cha barabara

    Hivi tume huru ya uchaguzi nchini Tanzania inawezekana kweli, kwa maana naona ndio mwarobaini wa matatizo tuliyo nayo.
Back
Top Bottom