Hiyo dhana inapingana na Giologia ,Giologia inaeleza kuwa muundo wa ndani ya dunia umegawanyika katika matabaka makuu matatu.Tabaka la juu ni crust la katikati ni Mantle na mwisho core.Na hiyo core sehem ya katikati kabsa ni yabisi (Solid) kutokana na element zinazoiunda na pia high...
Nimekupata mkuu ,Kambi zenye wanajeshi wa Tanzania zimekuwa zikivamiwa mara nyingi,mimi nahisi pengine kuna watu wasio litakia mema Taifa letu wanatumia huo mlango kufikisha ujumbe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.