manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,323
Kipindi gani sasa hivi hadi upate hiyo ruhusa ya kuingia jfhapana si natumia kipakatalishi?
Kipindi gani sasa hivi hadi upate hiyo ruhusa ya kuingia jfhapana si natumia kipakatalishi?
Afadhali umekiri umekuja haraka, ningemaanisha huyo ningesema monitressnimekuja haraka nimjue huyo mamonita nilijua ni mchuchu mkali kumbe unazungumzia Monitor c2pdy
Usiogope chief hawawezi kukulima ila msg snt and dlvrdhapana mkuu, ni mamonita na viranja tu
somo la tehama, kutumia kompyutaKipindi gani sasa hivi hadi upate hiyo ruhusa ya kuingia jf
tafadhali usinigombanishe na nisiemjua mkuuUsiogope chief hawawezi kukulima ila msg snt and dlvrd
Ova
wewe utakuwa unawafahamu vizuri tabia zaona kuandika majina ya swahili speakers
Teh teh haya mkuu basi yaishetafadhali usinigombanishe na nisiemjua mkuu
MapumzikoKipindi gani sasa hivi hadi upate hiyo ruhusa ya kuingia jf
angekuwa mtoto wa mwalimu ungepata tabu sana, maana kwa hapa shuleni, mamonita ambao ni watoto wa mwalimu hawaguswi kabisaShule ya msingi kulikuwa na monita mmja mnoko sana kutwa kunIndia jina!
Ilinibidi nijiongeze kumfata kwao na kumpiga biti hapo alituliaaa
Ova
bora hata kama utaambiwa kosa, unaweza tu kuitwa stafu rum na kuanza kupigwa bakora bila maelezoHalafu mkuu Jihadhari hata kwa hili unaweza pitishwa mbele ya darasa upewe adhabu ya kupiga magoti hadi mda wa karudi.
Hata Angekuwa mtoto wa waziri ninge mkabili tuangekuwa mtoto wa mwalimu ungepata tabu sana, maana kwa hapa shuleni, mamonita ambao ni watoto wa mwalimu hawaguswi kabisa
ungekamatwa na wanafunzi wasiojulikana halafu ukapoteaHata Angekuwa mtoto wa waziri ninge mkabili tu
Ova
Ah wapiungekamatwa na wanafunzi wasiojulikana halafu ukapotea
Kweli kabisa,kuna watu hawajauelewa huu uzi😀😀😀Unamaanisha ambao hawajaelewa huu uzi au?
Lakin nilichogundua mamonita wengi wana nidham ya woga kwa mwalimu,ndo maana wanaishia kuonea wanafunzi .Wanasahau kama kuna maisha baada ya shule.bora hata kama utaambiwa kosa, unaweza tu kuitwa stafu rum na kuanza kupigwa bakora bila maelezo