New Member;Nini niwe nacho makini humu? Nimekuja rasmi

We kubali uone uzinduzi unakuwaje
Mh! Sawa nizindue
IMG_20180719_194723.jpg
 
Karibu jisikie Upo nyumbani. Hapa kwetu tu njaa kali sana Narudia Tena tuna njaa kali sana. Nmesikia nyumba ya jirani huko wakiwaita mademu zetu Huku "MAHARAGE YA MBEYA" sina uhakika na hilo Ila Kama ni kweli "Vaa Condom".
 
Hahahahaa. Kina nani hao tena

Nimekuelewa sana mkuu shukran
 
Back
Top Bottom