Kwa jinsi ninavyo fahamu ni kwamba wabunge wa ccm ni waoga sana kuisimamia serikali na hata kama hoja ni nzuri ya kuijenga nchi hawapendi kuibana,hali hii ndiyo inayosababisha wananchi kuichukia ccm,na ndicho kinachosababisha ccm kutumia nguvu nyingi na fedha nyingi wkt wa kampeni
Habari zenu wana jamvi? Jana itv nilis
ikia wakisema uchaguzi wa meya Tanga ulivurugika,lakini nikamsikia meya aliyegombea kwa tiketi ya ccm akiomba wananchi kua na subira na kuomba ushirikiano ili kuwaletea maendeleo,. Je uamuzi una baki huo au kuna hatua za kurudia uchaguzi?
kama hoja ilikua kumkataa kumnadi Lowassa angenadi hata wabunge na madiwani wa ukawa,kosa alilofanya ni kuwakimbia watu wakiwa katika kipindi kigumu cha uchaguzi,c ajabu kwa ushawishi aliokua nao kwenye ukawa wabunge na madiwani wangeongezeka,nilimwamini sana Lipumba lakini kwa sasa namfananisha...
kama hoja ni kukataa kumnadi lowassa basi angenadi hata wabunge na madiwani wa ukawa,kosa kubwa ni kuwakinbia watu wakiwa kwenye hatua za mwisho kuelekea uchaguzi,binafsi nilimpenda sana Lipumba lakini kwa sasa sina imani nae kabisa,hana tofauti na mtu anayeaminiwa kugombea na mwisho akashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.