Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
Serikali imewapa wageni wanaofanya shughuli zao hapa nchini siku 14 kuwa wamekamilisha vibali halali vya kufanya kazi hapa nchini.
Mwanzoni wafanyakazi na biashara hao walikuwa wanaingia nchini na kulipia kibali cha muda wa miezi mitatu wakati kiukweli walikuwa wanakaa zaidi ya miezi iliyotajwa.
Serikali imekutana na watu hao leo hii idara ya kazi jijini dsm na kuwapa utaratibu wa kulipia kihalali ili kupewa kibali cha kuishi na kufanya shghuli zao kihalali.
Wachina walikuwa ni wengi sana wakifuatiwa na wahindi.