Ufisadi mkubwa tena kwenye kampeni za CCM mwaka 2015

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,489
Reaction score
39,969
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinadaiwa kufanya ufisadi mkubwa kupitia serikali wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015, imethibitishwa.

Serikali inadaiwa kukwapua akiba ya fedha za OC (Other Charges) zilizokuwa zimehifadhiwa hazina kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 98 na kuziingiza kwenye kampeni za mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama hicho John Magufuli ambaye aliibuka kidedea.

Tafadhali wabunge wa upinzani na wale wapenda haki wote tufuatilie jambo hili ili ukweli ubainike na hatua zichukuliwe haraka!
 
kaka hawa watawala ni vipofu,na hapa kilichobakia ni kuwang'oa kwa kutumia njia mbadala maana imeshaonekana kwa ballot box wanachakachua sana matokeo
 
Ngoja bunge lianze siwanajifanya hapa kazi tu
 
Weka data. Mmezoea uongo na uzushi tu
 
Weka chanzo cha taarifa usilete bla blaa wakati wa kazi. Nyie hela za chopper kila ck mlizitoa wapi?
 
Sasa hapa ndo ajaribu kukata tawi la mti alio kalia
 
kaka hawa watawala ni vipofu,na hapa kilichobakia ni kuwang'oa kwa kutumia njia mbadala maana imeshaonekana kwa ballot box wanachakachua sana matokeo

mhhh kwa kauli hii nahisi inabidi kumwongezea ulinzi mshindi.
 
majaribu hayo msimstress huyu jamaa asije akarudisha safari za nje awe anashinda hewani tu,maana kunawatu wakishikiria bango nyumbani patakuwa pachungu
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinadaiwa kufanya ufisadi mkubwa kupitia serikali wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015, imethibitishwa.

Serikali inadaiwa kukwapua akiba ya fedha za OC (Other Charges) zilizokuwa zimehifadhiwa hazina kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 98 na kuziingiza kwenye kampeni za mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama hicho John Magufuli ambaye aliibuka kidedea.

Tafadhali wabunge wa upinzani na wale wapenda haki wote tufuatilie jambo hili ili ukweli ubainike na hatua zichukuliwe haraka!

Sasa si amekuwa raisi, wamhesabie kama mkopo aanze kukatwa na wlaiokuwa wanamwibia wamsaidie kulipa. Wabunge waliozitumia kwenye magoli ya mikono, wote wachangishwa zirudi kama mikopo.
 
2005 fedha za EPA zilitumika kwny campaign za CCM kumuingiza Kikwete madarakani, siri hii anayo Daud Balali huko aliko...laiti ingetokea huyu bwana 'afufuke' leo, angetoa siri nyingi sana.

Hii nayo ni EPA nyingine yw 2015!???
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinadaiwa kufanya ufisadi mkubwa kupitia serikali wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015, imethibitishwa.

Serikali inadaiwa kukwapua akiba ya fedha za OC (Other Charges) zilizokuwa zimehifadhiwa hazina kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 98 na kuziingiza kwenye kampeni za mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama hicho John Magufuli ambaye aliibuka kidedea.

Tafadhali wabunge wa upinzani na wale wapenda haki wote tufuatilie jambo hili ili ukweli ubainike na hatua zichukuliwe haraka!

Hii itakuwa ni kwa mujibu report ya CAG Wa UKAWA
 
Cha Ajabu wapigaji wa hizo pesa akina Mwigulu na January Makamba watapewa Uwaziri ndipo utashangaa kila kitu kuzimwa kimya kimya.
 
Sasa si amekuwa raisi, wamhesabie kama mkopo aanze kukatwa na wlaiokuwa wanamwibia wamsaidie kulipa. Wabunge waliozitumia kwenye magoli ya mikono, wote wachangishwa zirudi kama mikopo.

Kama kweli Magufuli ana nia ya dhati kukomesha ufisadi hana budi aanze na hao iwe mfano wa kuigwa.
 
Nilinusa harufu ya jambo kama hili tangu uchaguzi ukiendelea kama ni kweli hiyo hesabu utakuwa umekosea ni zaid ya hapo.
 
Back
Top Bottom