Ufumbuzi wa uchaguzi wa meya Tanga

NG'AMBEZE

Senior Member
Feb 5, 2013
103
13
Habari zenu wana jamvi? Jana itv nilis
ikia wakisema uchaguzi wa meya Tanga ulivurugika,lakini nikamsikia meya aliyegombea kwa tiketi ya ccm akiomba wananchi kua na subira na kuomba ushirikiano ili kuwaletea maendeleo,. Je uamuzi una baki huo au kuna hatua za kurudia uchaguzi?
 
Mkurugenzi wa uchaguzi aliamua kuvuruga uchaguzi wa Tanga. Naamini aliagizwa na mamlaka yake ya kinidhamu!
 
Wewe ulitakaje maana meya kachaguliwa mnapopiga kura kunakuwa na uwakilishi katika kuhesabu kura
Wakala wa CUF alirudi ukumbini kutoka kuhesabu kura akiwa na matokeo ya mgombea wa CUF wa Umeya jijini akiwa amepata kura 20 dhidi ya 17 za mgombea wa CCM.
Lakini kwa mshangao mkubwa wa kila mjumbe aliyekuwepo ukumbini, msimamizi wa uchaguzi kwa kuthibitisha 'ukada' wake akamtangaza mgombea wa CCM kuwa eti ndiye mshindi kwa kura 19 dhidi ya 18 za mgombea wa CUF!
Na baada ya hapo Defender za polisi zikamkimbiza chapu chapu toka hapo ukumbini na kwenda kumficha mahali kusikojulikana.
 
Si kweli haiwezekani mukulugenzi abadilishe mwenyewe
 
Wakala wa CUF alirudi ukumbini kutoka kuhesabu kura akiwa na matokeo ya mgombea wa CUF wa Umeya jijini akiwa amepata kura 20 dhidi ya 17 za mgombea wa CCM.
Lakini kwa mshangao mkubwa wa kila mjumbe aliyekuwepo ukumbini, msimamizi wa uchaguzi kwa kuthibitisha 'ukada' wake akamtangaza mgombea wa CCM kuwa eti ndiye mshindi kwa kura 19 dhidi ya 18 za mgombea wa CUF!
Na baada ya hapo Defender za polisi zikamkimbiza chapu chapu toka hapo ukumbini na kwenda kumficha mahali kusikojulikana.
Porojo hizo.cuf hawakuwa wamoja wakasalitiana,wakapigia kura mgombea wa ccm.huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom