Recent content by ngamba099

  1. ngamba099

    JamiiForums Tatizo ni nini ??

    Kila kukicha dunia inalalamika ,ulaya inalalamika,marekani inalalamika ,. Hii Iran inanini? tatizo kubwa hasa inayoisumbua dunia kuhusu Iran ni nini mpaka unatafutwa muungano wa kijeshi kuikabili Iran,inaonekana vikwazo vyote ilivyowekewa na bwana mkubwa havijaweza kufikia malengo?
  2. ngamba099

    JamiiForums Serikali kusaini mkataba wa ujenzi wa Daraja kuvuka ziwa Victoria kutoka Kigongo-Busisi utakaogharimu Tzs bilioni 699.6

    Mawakala wang'ambo utawajua tu wao kila kitu kubeza tu!
  3. ngamba099

    JamiiForums Kipaumbele cha Chadema ni Lissu sio Taifa

    Na wewe bwana!hivi hujui kama pumzi yao imekata ,wanatafuta pa kuhemea.
  4. ngamba099

    JamiiForums Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

    Unaishi na chato akilini mwako
  5. ngamba099

    JamiiForums Tetesi tetewa mitandaoni

    Huwezi kuelewa kwa sababu akili yako haijaumbwa kuelewa.
  6. ngamba099

    JamiiForums Tetesi tetewa mitandaoni

    Urusi yalipa kisasi kwa marekani yamtunia trump kuivuruga,mpango wa kumsaidia kuingia madarakani ulisukwa kwa ustadi mkubwa. Baada tu ya kuingia madarakani akaiondoa nchi yake kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran ,akapunguza ushiriki Wa USA kwenye NATO ,akajiondoa UNESCO ,akaanzisha mgogoro wa...
  7. ngamba099

    JamiiForums Top 20 Richest Countries In Africa – IMF & World Bank Latest Data

    Tunakubali ila mitaani hali tete.
  8. ngamba099

    JamiiForums Gazeti la "The new times" lampongeza Rais John Magufuli

    Kwani Rwanda nao wamekuwa wachambuzi!?
  9. ngamba099

    JamiiForums Bunge lapitisha bajeti ya Serikali

    Tuacheni kwa sasa maana akili na masikio yako misri kwa muda
Back
Top Bottom