Musiba: Vodacom ilikuwa mali ya CCM mafisadi wakaipora, Nape kauza mitambo ya tv ya CCM, Mbowe anapoteza wanaohoji ruzuku

Hivi si kuna vodacom, Vodafone na safaricom yote hii si British company au?

Vodacom south hapo mwanzo walikua wenye kabla ya kuuza hisa kwa vodafone walikua na rangi ya blue na kijani na nembo ya dunia then vodafone akafika bei na kuifanya kua na nembo ya vodafone na rangi nyekundu ila hapo mwanzo bwana azizi na lowassa bongo ndo walikua wanamiliki hisa nyingi na mtt wa lowassa ndo alikua na kampuni ya shivacom utengenezaji wa vocha baadae ikagubikwa na na kashfa za vocha fake mara madeal mengi wakavunja mkataba ndo mana sasa hivi vocha uoni jina shivacom ni hayo kwenye kumbukumbu yangu sasa musiba anaweza kutusaidia wakina lowassa walipataje hisa hizo na ccm ilikuaje na umiliki wa vodacom tanzania na sio vodacom yote itakua tu akuweka maelezo vizur musiba atakua anazungumzia voda ile ya zamani yani kama airtel ni wahindi hao ila mwanzo ilikua na majina mengine kapita zein sijui nn musiba akirudi tena atakua na maelezo mazur tusimtukane ana kaukwel sema ajakaweka vizur alafu anachanganya na uongo sasa inabidi utumie kidg akili kuchambua na kuunga dot
 
Mkuu usiwe unapenda story za vijiweni.
Tumia muda wako kwenye hizi social network kujielimisha.

Kidogo tu: Freddy Lowassa alikuwa mkurugenzi wa Alphatel. Shivacom ni ya Tanil Somaiya

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Imewezekanaje kucollude aphatel,shivacom na plantel kwenye vocha 2012 kwa miaka yote bila vodacom south africa kujua mkuu we unajua vizur kumbe unaweza kutusaidia kwa hili mkuu tunyooshee maelezo
 
Kama alijua habari za juzi na anaziandika leo maana yake hazina tija tena..kelele za nini kama watu wamejichanganya wanahitajika kirudi kusoma kitabu cha kijani na kuanza utekelezaji upya..
 
Hahahahahahaha ..."...they've have got a lot to lose as well...'...Itakuwaje ikiwa information wanazompa huyo Musiba zina ukweli???!!! Who is going to lose, then????!!!...Hata mimi nina hamu ya kuona game hii inavyoendelea ....
Time will tell, japo inaonekana mambo mengi anayoropoka Musiba ni fabricated na hata kama yana chembechembe za ukweli kuna exaggerations sana kuzifanya zinoge ili waendelee kukamatana 'uchawi'.
 
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema anayo orodha ya mafisadi wote waliotajwa katika ripoti ya kamati ya Dr Bashiru hivyo makada wakiendelea kumzingua atawataja wote hadharani.

Ameuliza, hamjui kuwa Vodacom ilikuwa mali ya CCM?!!...... Mnajua kwamba CCM ilikuwa na Tv yake lakini Nape, Kimbisa na Kinana wakauza mitambo?
Mmesahau kuwa Makamba alikuwa anauza kadi za CCM badala ya kugawa bure?!

Kwa upande wa Chadema amesema Mbowe anatumbua ruzuku na wale wenye ujasiri wa kuhoji anawapoteza na kuisingizia serikali.

Ni hayo kwa uchache

Maendeleo hayana chama!
Ni liongo hilo libaba
 
Anakuambia Uhuru kaja Tz kujipendekeza kisa Jaquar alilopoka mambo mabaya kwa Giant nation Tz
 
Awali nilijua MUSIBA ni kichaa.
Baada ya kuisikiliza voice note amenoconvert kabisa.
Jamaa data zake ni za kweli tupu!
Kwa hiyo tupa tu kamanda.
Kwa hiyo na wewe unaamini Vodacom Tanzania ilikuwa ni mali ya CCM, siyo? Okay, je tuseme vodacom ilikuwa mali ya CCM, nani walikuwa watendaji wakuu wa CCM mwaka 1999 Vodacom ilipofungua subsidiary nchini Vodacom Tanzania? Je kuna popote huyo anayejiita mwanaharakati na mtetezi mkuu wa awamu ya jiwe amewahusisha Pius Msekwa na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa katika tuhuma zake?

Chintu, hebu jaribu kujielimisha kidogo na kutumia angalau common sense katika mambo yasiyohitaji juhudi kubwa kujua uhalisi wake. Kumbuka...Vodacom Tanzania limited is a subsidiary company of Vodacom Group (Pty) Limited, South Africa which is also a subsidiary of Vodafone Group UK Limited. Hata kilaza kabisa wa kuokota angehoji je Vodacom Tanzania Limited ingewezaje kumilikiwa na CCM?
 
Inawezekana wakawa ccm wamepewa hisa nyingi sema wajanja wakajipa pasi wenyewe juu kwa juu labda mana naona roshitam azizi na lowassa ndo walikua wabongo wenye hisa nyingi alafu wote ni kada ccm mana hata lowassa alikua na tenda ya vocha na kampuni yake ya shivacom nadhani kuna kaukwel labda ebu tumpe mda bwana c.musiba afunguke sie tuunge dot kama naanza kuelewa anaweza musiba akawa ameongea kwa jazba ajaweka sawa sababu lowassa amepata msamaha jana tu na mwenzie azizi kwaiyo ameshindwa kutoa ccm ilikua inamiliki vp vodacom tanzania kama c.musiba ni kichaa basi tumuombe doctor wake aendelee kumnyima dose ili atumegee siri ya wala nchi huku akizidi kumsaidia rais wake mpendwa
Sahihi ni Alphatel ni second super dealer wa vodacom ila Shivacom ni ya mhindi alikuwa dalali wa rada mbovu
 
Awali nilijua MUSIBA ni kichaa.
Baada ya kuisikiliza voice note amenoconvert kabisa.
Jamaa data zake ni za kweli tupu!
Kwa hiyo tupa tu kamanda.
Ilinibidi niombe list ya wamiliki wa vodocom, nimejiridhisha vodacom haimilikiwi na CCM kwa hiyo situpi laini yangu.
 
Issue hapa ni Mandela kuwapa CCM. Sijasema kuwa CCM kama chama haiwezi kumiliki Vodacom.
Main issue sio mandela kuwapa ccm. Main issue ni ccm kumilikishwa vodacom asilimia 100. Iwe ni mandela aliwapa au republic of south africa
 
Back
Top Bottom