Tetesi tetewa mitandaoni

Tetesi tetewa mitandaoni

ngamba099

Member
Joined
Mar 2, 2019
Posts
11
Reaction score
1
Urusi yalipa kisasi kwa marekani yamtunia trump kuivuruga,mpango wa kumsaidia kuingia madarakani ulisukwa kwa ustadi mkubwa.

Baada tu ya kuingia madarakani akaiondoa nchi yake kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran ,akapunguza ushiriki Wa USA kwenye NATO ,akajiondoa UNESCO ,akaanzisha mgogoro wa kibiashara na washirika wake wa ulaya pamoja China ,kuutsmbua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel nako kumesababisha kumtenga kwa washirika wake wa mashariki ya kati ikiwemo na utvruki ambayo imeegamia sasa kwa mahasimu wake yaani vrusi na Iran.

Vikwazo vya upande mmoja alivyoiwekea Iran ambavyo vimefeli baada ya dunia kujitenga navyo. Migogoro ya kiuongozi katika uongozi wake ,kujiuzuru kwa wateule wake kama makamo wa rais,msemaji wa Ikulu pamoja na waziri wake wa ulinzi kumezidisha mpasuko ndani ya ungozi Wa trvmp

Pia kuwatusi waafrika kuwa wanafaa kutawaliwa tena kumesababisha kutoheshimika barani Afrika.

Hizi ni tetesi tetewa kutoka mawinguni
 
Urusi yalipa kisasi kwa marekani yamtunia trump kuivuruga,mpango wa kumsaidia kuingia madarakani ulisukwa kwa ustadi mkubwa.Baada tu ya kuingia madarakani akaiondoa nchi yake kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran ,akapunguza ushiriki Wa USA kwenye NATO ,akajiondoa UNESCO ,akaanzisha mgogoro wa kibiashara na washirika wake wa ulaya pamoja China ,kuutsmbua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel nako kumesababisha kumtenga kwa washirika wake wa mashariki ya kati ikiwemo na utvruki ambayo imeegamia sasa kwa mahasimu wake yaani vrusi na Iran.vikwazo vya upande mmoja alivyoiwekea Iran ambavyo vimefeli baada ya dunia kujitenga navyo.migogoro ya kiuongozi katika uongozi wake ,kujiuzuru kwa wateule wake kama makamo wa rais,msemaji wa ikulu pamoja na waziri wake wa ulinzi kumezidisha mpasuko ndani ya ungozi Wa trvmp .pia kuwatusi waafrika kuwa wanafaa kutawaliwa tena kumesababisha kutoheshimika barani afrika.hizi ni tetesi tetewa.kutoka mawinguni
Vikwazo vya Iran vimefeli?
Wenzio wanafikiria kurasimisha ulaji wa makimba wewe unaongea kutokea wapi?
 
"What goes around comes round" ni kanuni moja kubwa sana kwenye maisha hasa ya kisiasi.
Hao hao USA walimtumia Mikhail Sergeyevich Gorbachev kuivuruga Soviet Union (USSR) hadi dola ya Urusi ikaparaganyika vibaya..
Nadhani sasa ni zamu ya Urusi kumtafuta mtu atakayewasaidia kulipa visasi.. kuivuruga USA...
Dalili zinaonesha mtu huyo ni Donald Trump.
Wakati dunia wakiipuuza Urusi ya sasa na kuihofia zaidi China; Urusi yenyewe chini ya jasusi Vladmiri Putin inatumia zaidi ujasusi wa kiteknolojia kutaka kurudisha hadhi na ushawishi wake kimataifa!

My take: haya tungeyaacha kwanza kwa sasa tupigane na kujipange kivyetu vyetu!
 
Afu kama simwelewagi yule jamaa wa USA ivi alizaliwa na mwanamke kweli???!!!
 
Back
Top Bottom