Kipaumbele cha Chadema ni Lissu sio Taifa

Ndugu zangu,

Nikiwa natokea Rufiji kwenye tukio la kihistoria wakati nchi yetu ikidhamiria kujikidhi katika uzalishaji wa nishati ya umeme nimeshtushwa niliposikia makada wa Chadema badala ya kujikita na kushawishi wananchi jinsi gani wanaweza kuzingatia maswala ya kitaifa wao na uongozi wao waamini Lissu ni kipaumbele cha Taifa.

"Ajizi nyumba ya njaa" sasa kwao shida za Watanzania na ajenda za Taifa si kitu bali kwao Tundu Lissu ndio hoja yao,ajenda yao,akili yao,tegemeo lao ndio pumzi yao.

Je,watakuwa tayari kumpa uenyekiti wa Chadema Taifa?

Umeoga au umekuja mjini bila kuoga? Napenda ufahamu kuna Katazo la watu wasiofua wala kuoga kuingia mjini.
 
Ndugu zangu,

Nikiwa natokea Rufiji kwenye tukio la kihistoria wakati nchi yetu ikidhamiria kujikidhi katika uzalishaji wa nishati ya umeme nimeshtushwa niliposikia makada wa Chadema badala ya kujikita na kushawishi wananchi jinsi gani wanaweza kuzingatia maswala ya kitaifa wao na uongozi wao waamini Lissu ni kipaumbele cha Taifa.

"Ajizi nyumba ya njaa" sasa kwao shida za Watanzania na ajenda za Taifa si kitu bali kwao Tundu Lissu ndio hoja yao,ajenda yao,akili yao,tegemeo lao ndio pumzi yao.

Je,watakuwa tayari kumpa uenyekiti wa Chadema Taifa?
Ajizi kweli ni nyumba ya njaa; sasa kwenu shida za Watanzania na ajenda za Taifa si kitu bali kwenu Tundu Lissu afe ndio hoja yenu, ajenda yenu, akili yenu, tegemeo lenu na pumzi yenu kusiwe na upinzani kana kwamba Lisu ndio upinzani. Mnasahau kuwa pamoja na uwezo wake Mungu aliruhusa uwepo wa shetani hapa duniani. Mashetani nyinyi mnataka kubeza hata taratibu za Muumba.
 
Mkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, kwenye issue za kitaifa, wapinzani waungane na serikali, tutangulize mbele maslahi ya taifa.

Kwenye hili la uenyekiti, Lissu atapewa, Kama rais Magufuli amepewa uenyekiti wa CCM, na kuna vitu Lissu ni zaidi ya Magufuli, I don't see why Chadema wasimpe uenyekiti Lissu.

Hili likifanyika, japo rais Magufuli bado ndio atashinda kwa ushindi wa kishindo, lakini hautakuwa ni ushindi wa mteremko.

P
Magufuli hatashinda bali atapora kura na kuuwa watu wengI.
 
Utekaji ni kipaumbele cha shetani gani endapo kipaumbele cha Chadema ni Lisu?Hakuna kipaumbele cha taifa pasipo kulinda uhai wa raia.
 
Ndugu zangu,

Nikiwa natokea Rufiji kwenye tukio la kihistoria wakati nchi yetu ikidhamiria kujikidhi katika uzalishaji wa nishati ya umeme nimeshtushwa niliposikia makada wa Chadema badala ya kujikita na kushawishi wananchi jinsi gani wanaweza kuzingatia maswala ya kitaifa wao na uongozi wao waamini Lissu ni kipaumbele cha Taifa.

"Ajizi nyumba ya njaa" sasa kwao shida za Watanzania na ajenda za Taifa si kitu bali kwao Tundu Lissu ndio hoja yao,ajenda yao,akili yao,tegemeo lao ndio pumzi yao.

Je,watakuwa tayari kumpa uenyekiti wa Chadema Taifa?

Kuna umuhimu wa watu kukaa na kutafakari wanachotaka kukiandika. This is one of the worst idea to write, Lissu was injured to death, by writing this, you really realise your foolishness in you. Mi si muumini sana wa siasa, lakini roho ya namna yako ni ya kinyama sana. You deserve no this guy, dont you have any conviction for humility? Siasa zenu ninakosa maana kama huu ndio ubinadamu wenu. I better not listen about your rubbish politics
 
Ni kichaa pekee ndiye awazaye kuwa anaweza kuuwa upinazani kwakuvifanyia mambo ya hovyo vyama vya upinzani.Upinzani upo ndani ya nafsi ya mtu, wala siyo chama.
 
Mkuu Kaka Wakudadavua, kwanza naunga mkono hoja, kwenye issue za kitaifa, wapinzani waungane na serikali, tutangulize mbele maslahi ya taifa.

Kwenye hili la uenyekiti, Lissu atapewa, Kama rais Magufuli amepewa uenyekiti wa CCM, na kuna vitu Lissu ni zaidi ya Magufuli, I don't see why Chadema wasimpe uenyekiti Lissu.

Hili likifanyika, japo rais Magufuli bado ndio atashinda kwa ushindi wa kishindo, lakini hautakuwa ni ushindi wa mteremko.

P

hivi kuungana na serikali ni against nani!?
 
Ndugu zangu,

Nikiwa natokea Rufiji kwenye tukio la kihistoria wakati nchi yetu ikidhamiria kujikidhi katika uzalishaji wa nishati ya umeme nimeshtushwa niliposikia makada wa Chadema badala ya kujikita na kushawishi wananchi jinsi gani wanaweza kuzingatia maswala ya kitaifa wao na uongozi wao waamini Lissu ni kipaumbele cha Taifa.

"Ajizi nyumba ya njaa" sasa kwao shida za Watanzania na ajenda za Taifa si kitu bali kwao Tundu Lissu ndio hoja yao,ajenda yao,akili yao,tegemeo lao ndio pumzi yao.

Je,watakuwa tayari kumpa uenyekiti wa Chadema Taifa?
watanzania sio wajinga,ukiona hoja ya Tundu Lissu ikipewa kipaumbele kuliko hiyo miradi yenu basi ujue Lissu na uhai wake ni muhimu kwao kuliko hiyo miradi uchwara yenu,na bado mtateseka sana
 
Na wewe bwana!hivi hujui kama pumzi yao imekata ,wanatafuta pa kuhemea.
 
Back
Top Bottom