Tatizo ni nini ??

Tatizo ni nini ??

ngamba099

Member
Joined
Mar 2, 2019
Posts
11
Reaction score
1
Kila kukicha dunia inalalamika ,ulaya inalalamika,marekani inalalamika ,.
Hii Iran inanini? tatizo kubwa hasa inayoisumbua dunia kuhusu Iran ni nini mpaka unatafutwa muungano wa kijeshi kuikabili Iran,inaonekana vikwazo vyote ilivyowekewa na bwana mkubwa havijaweza kufikia malengo?
IMG_20190730_071945.jpeg
 
Kila kukicha dunia inalalamika ,ulaya inalalamika,marekani inalalamika ,.
Hii Iran inanini? tatizo kubwa hasa inayoisumbua dunia kuhusu Iran ni nini mpaka unatafutwa muungano wa kijeshi kuikabili Iran,inaonekana vikwazo vyote ilivyowekewa na bwana mkubwa havijaweza kufikia malengo? View attachment 1215236



Tatizo ni Uislamu wake, misimamo yake kutetea wanyonge hasa wapalestina dhidi ya waisraeli na pia mafuta yake.
 
Tatizo ni Uislamu wake, misimamo yake kutetea wanyonge hasa wapalestina dhidi ya waisraeli na pia mafuta yake.
Tatizo la kwanza ni Mafuta la pili ni Mafuta, la tatu ni Mafuta. Mengine siyo issue maana Erdogan, Qatar naye anawasaidia Wapalestina. Uislam hata Saudia, UAE nao ni Waislam
 
Tatizo la kwanza ni Mafuta la pili ni Mafuta, la tatu ni Mafuta. Mengine siyo issue maana Erdogan, Qatar naye anawasaidia Wapalestina. Uislam hata Saudia, UAE nao ni Waislam
Wao Waislam Ila WANAFIQ Ila WAAJEMI Wamesimamia UISLAM Kikweli Kweli Ndio Maana

Chuki Kubwa sana Nihiii Yakulitaka Taifa la PALESTINE Liwe Huru Hili Jambo Linawakera Sana Sana Sana US na SHOST ZAKE
 
U S A has no permanent enemy and no permanent friend
just permanent interests
 
Tatizo ni mgodi huo lakini madini yake hayachimbiki hapo ndipo USA wanapochanganyikiwa nyau wale ,sisi chocho ila iran ndiyo chama la wana na nchi yeyote aganst US ni chama la wana
 
Pale US hana bases zote zile kwa ajili ya Iran tu bali kwa ajili ya middle east nzima. Kikisanuka Iraq, Iran, Saudia, Kuwait, Palestina, Israel, Oman mpaka uko Pakistan anakuwa na uhakika wa kurespond haraka. Kusema yupo kwa ajili y Iran tu ni kutoelewa sera zake
 
Tatizo la kwanza ni Mafuta la pili ni Mafuta, la tatu ni Mafuta. Mengine siyo issue maana Erdogan, Qatar naye anawasaidia Wapalestina. Uislam hata Saudia, UAE nao ni Waislam


Mafuta siyo sababu ya kwanza hata kidogo, Sababu ni mapambano ya Irani dhidi ya Israeli, Irani imejipambanua kwamba inataka kupambana na Israeli na mbaya zaidi kwa America na Israeli, Irani inayo teknolojia yake binafsi ya kuweza kutengeneza makombora, drones na teknokojia za juu, sasa hofu yao ni kwamba baadaye ikifanikiwa kuwa na Bomu la nuclear tayari mashariki ya kati yeye atakuwa ni mmoja wa wababe na Israeli na hivyo kutakuwa na Balance of power kitu ambacho America na Israeli hawataki vilevile Serikali ya Saudia (ufalme) utakuwa hatarini na hivyo Amerika haitapora mafuta na utajiri wa Saudia katika ulinzi wa ufalme , hiyo ndiyo sababu ya kwanza na baadaye ndiyo zinafuata mafuta na dini.

Hizo nchi ulizotaja pamoja na Saudia ni Waislamu lakini misimamo yao ya kiislamu ni tofauti na misimamo ya Irani hasa katika masuala ya haki, angalia hapa; Saudia inaouwezo wa kuibana Marekani kuhusu kuibana Israeli ili Wapalestina wapate taifa lao, lakini ulisikia wapi Serikali ya Saudia na nchi zingine za kiarabu zikifanya jitihada yoyote kutetea Wapalestina (Waarabu wenzao) ??, ni Waajemi (Irani) non Arabs, ndio wapo mstari wa mbele kuwatetea wapalestina, kuna Arabs league za nchi za kiarabu, hifanyi lolote kutetea Wspalestina kwa kuiogopa Israeli, ni chama kisichokuwa na meno, ni Irani pekee ndiyo inapiga kelele kuhusu suala la palestina, kama unakumbuka mara kadhaa Netanysu alikuwa akiomba ruhusa/msaada kutoka kwa Obama ili aivamie Iran, ni busara ya Obama iliyoepusha vita alipokuwa anagoma.

Kwahiyo Amerika kutaka kuipiga Irani KIMSINGI ni msukumo kutoka kwa Isrseli, Kwa ajili ya usalama wake.
 
Back
Top Bottom