Gazeti la "The new times" lampongeza Rais John Magufuli

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
348
500
Was-salaam!

Gazeti la THE NEW TIMES limechapisha taarifa ya kumpongeza Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Katika toleo lao la tarehe 26/06/2019, Wahariri walikuwa wanachambua suala la uwezezaji ambao huhatarisha maslahi ya nchi ambazo zinategemea misaada kutoka katika mataifa makubwa na taasisi kubwa kama World Bank.

Pongezi kwa Rais Magufuli zimeonesha umakini katika kufanya maamuzi yenye tija kwa nchi. Nanukuu "Hivi karibuni, Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amesema kwamba amefuta mkataba uliosainiwa na utawala uliopita wa kujenga bandari mpya. Alisema kuwa mpango huo ulikuwa sawa na kuuza nchi kwa nguvu za kigeni.Nchi nyingi zimeanguka katika mtego wa kupata kile wanachofikiri ni fedha rahisi kuwekeza wakati mwingine katika miradi ya ubatili, na hivyo kuingia ndani ya deni lisilostahili."

Tumwombee Rais wetu aendelee kufanya mageuzi makubwa ya Kiuchumi.

Nelson,
London.

Pongezi kwa JPM.jpg
 
prettya

JF-Expert Member
Feb 20, 2019
214
250
siku zote nabii hakubaliki kwao
hongera kwa mh,Rais
wasipo elewa sasa,wataelewa baadae
 
Laface77

JF-Expert Member
Jul 9, 2008
2,116
2,000
Was-salaam!

Gazeti la THE NEW TIMES limechapisha taarifa ya kumpongeza Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Katika toleo lao la tarehe 26/06/2019, Wahariri walikuwa wanachambua suala la uwezezaji ambao huhatarisha maslahi ya nchi ambazo zinategemea misaada kutoka katika mataifa makubwa na taasisi kubwa kama World Bank.

Pongezi kwa Rais Magufuli zimeonesha umakini katika kufanya maamuzi yenye tija kwa nchi. Nanukuu "Hivi karibuni, Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amesema kwamba amefuta mkataba uliosainiwa na utawala uliopita wa kujenga bandari mpya. Alisema kuwa mpango huo ulikuwa sawa na kuuza nchi kwa nguvu za kigeni.Nchi nyingi zimeanguka katika mtego wa kupata kile wanachofikiri ni fedha rahisi kuwekeza wakati mwingine katika miradi ya ubatili, na hivyo kuingia ndani ya deni lisilostahili."

Tumwombee Rais wetu aendelee kufanya mageuzi makubwa ya Kiuchumi.

Nelson,
London.

View attachment 1138741
Hako ni kajarida kasiko hata na hadhi ya makaratasi ya kuchambia chooni kanakochapishiwa Chato!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,831
2,000
Sijaona neno kusifiwa! Zaidi ya maelezo kuwa amekatisha mkataba wa bagamoyo port!
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
16,071
2,000
Mtaani balaa,pesa haipatikani hao new times ndio kina nani//

wananchi wanakufa njaa,,unasema ardhi ni ya kijani//

am sorry anko,,nishajua kusoma namba za kirumi//

rudisha heshima chato,,mwili haujengwi kwa push up za ngumi/
 
Evarist Chahali

Verified Member
Dec 12, 2007
836
1,000
Was-salaam!

Gazeti la THE NEW TIMES limechapisha taarifa ya kumpongeza Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Katika toleo lao la tarehe 26/06/2019, Wahariri walikuwa wanachambua suala la uwezezaji ambao huhatarisha maslahi ya nchi ambazo zinategemea misaada kutoka katika mataifa makubwa na taasisi kubwa kama World Bank.

Pongezi kwa Rais Magufuli zimeonesha umakini katika kufanya maamuzi yenye tija kwa nchi. Nanukuu "Hivi karibuni, Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amesema kwamba amefuta mkataba uliosainiwa na utawala uliopita wa kujenga bandari mpya. Alisema kuwa mpango huo ulikuwa sawa na kuuza nchi kwa nguvu za kigeni.Nchi nyingi zimeanguka katika mtego wa kupata kile wanachofikiri ni fedha rahisi kuwekeza wakati mwingine katika miradi ya ubatili, na hivyo kuingia ndani ya deni lisilostahili."

Tumwombee Rais wetu aendelee kufanya mageuzi makubwa ya Kiuchumi.

Nelson,
London.

View attachment 1138741
Kwanini wasimpongeze kibaraka wa Kagame?
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,689
2,000
kwanini apongezwe wakati ni wajibu wake kabisa kufanya hivo? maana anatimiza majukumu yake ikiwa pamoja na kusitisha mikataba mibovu, tujiulize ,maswali je mkataba huo umesainiwa kipindi cha nani mbona watu wanashangilia?

Britanicca
 
MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
15,826
2,000
Was-salaam!

Gazeti la THE NEW TIMES limechapisha taarifa ya kumpongeza Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Katika toleo lao la tarehe 26/06/2019, Wahariri walikuwa wanachambua suala la uwezezaji ambao huhatarisha maslahi ya nchi ambazo zinategemea misaada kutoka katika mataifa makubwa na taasisi kubwa kama World Bank.

Pongezi kwa Rais Magufuli zimeonesha umakini katika kufanya maamuzi yenye tija kwa nchi. Nanukuu "Hivi karibuni, Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amesema kwamba amefuta mkataba uliosainiwa na utawala uliopita wa kujenga bandari mpya. Alisema kuwa mpango huo ulikuwa sawa na kuuza nchi kwa nguvu za kigeni.Nchi nyingi zimeanguka katika mtego wa kupata kile wanachofikiri ni fedha rahisi kuwekeza wakati mwingine katika miradi ya ubatili, na hivyo kuingia ndani ya deni lisilostahili."

Tumwombee Rais wetu aendelee kufanya mageuzi makubwa ya Kiuchumi.

Nelson,
London.

View attachment 1138741
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom