Recent content by ngaiwoye

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ni dalili zipi zinazoweza kuonyesha mpenzi wako kafanya tendo la ndoa kwingineko?

    Yani balehe mbaya sana, hicho kipindi ukiwa unatangaza nilikuwa natamani unibikiri tu hahaha. Yan nilikuwa nakupenda sana mpaka muhun alivyokuja kuikata nikakusahau
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kiafrica wanatembea kwa miguu huko New York na ulinzi hafifu wakati wakiwa hapa nyumbani ni miungu watu?

    Huyo rais wa senegal anapendwa, yule doumbuya alifanyiwa fujo mpaka alitembea na gari
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msemo wa Dudubaya sasa wafika shuleni hii ni hatua nzuri sana kitaifa

    Hahaha there is no bad publicity, dudubaya huu ndio wakat wake wa kujipigia fweza, atauza yale matishirt sana. Afunge mkataba na sandaland
  4. N

    JamiiForums Tanzania Chalamila muogope Mungu: upandacho ndicho utakachovuna

    Yani yule bibi mumewe alikuwa RC wa kwanza wa shinyanga. Sasa chalamila atajiskiaje mke wake akiswekwa ndani akiwa na umri huu....kwakwel
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Wavamizi hua wanafanywaje? Kisheria hizo nyumba sio zao tena...ardhi ikiwa Mali yako ni pamoja na kilicho juu yake..hizo nyumba ni za Mushi ataamua azivunje ama aziache
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Rc ana mamlaka ya kuhoji hukumu halali? Nilimsikiliza kuna mambo angenyamaza zake tu...ye anafikia hatua ya kumtaja jaji mkuu kwamba ni msikivu atafatwa, Rc ni mwalimu by proffesion, hajui mahakama ni muhimili unaojitegemea? Hii issue italeta mjadala mpana sana, na asipoangalia inweza...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

    Hivi kule bahari beach ni kwake ama kapanga?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Sasa ukishakaza hukumu anateuliwa dalali wa mahakama kufanya kazi, kwahiyo mwenye kosa hapo( kama lipo) sio Mushi baali ni madalali wa mahakama ndo mwenye kosa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Kwa kuongezea, kitwanga alipata ushindi mahakaman, bila kuzingatia kwamba mushi anakata rufaa, yeye aliamua kuuza, kabla ya muda wa kukata rufaa. Mushi aliendelea kuwataadharisha wanunuzi hiyo sehemu ina mgogoro, lkn hawakuskia
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Jifunzeni sheria, familia ya Mushi ina kosa gani? Ukikaza hukumu dalali anaetafutwa ni wa mahakama, kwa hiyo mkosaji hapo ni dalali wa mahakama ambae yupo kisheria
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Ardhi ni pamoja na chochote kilichopo juu yake. Yani mtu ardhi yake hataki nyumba mnampangia asibomoe?? Hapo kisheria hadi hizo nyumba hapo ni Mali ya Mushi. Mi nawachukia sana wavamizi, wanavamiaga ardhi za watu kisha wanajenga, likiwakuta wanatafuta sympathy..subiri siku ardhi yako ikivamiwa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    We jamaa una chuki na wachaga. Je umejuaje huyo mchaga amehonga mahakama? Heshimuni wachaga sana na wahindi ambao ndo wanawainulia uchumi wenu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Kwahiyo mahakama ikitoa amri kuna mtu anaeza ingilia mahakama?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, Masaju: Watu wapewe Haki zao mapema

    Sasa mbona haki ya Mushi inacheleweshwa na familia nzima ya Mushi inaambiwa ikamatwe?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

    Anadhalilisha watu, ashtakiwe...ni kweli tunapinga ushoga lakini kumdhalilisha mtu ambae hujawahi kumshuhudia akifanywa hivyo ni ujuha...anazidisha masifa, ashtakiwe
Back
Top Bottom