Recent content by Ngadupa

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu karudi kwenye dini yake

    Wewe mwenyewe umeletwa duniani😂 au ulijileta??? Kwanini ukatae cha kuletewa kama umekielewa na kikakuingia akilini??
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Reducing Mortality and Disabilities through Improved First Aid in Tanzania

    Good work, you have my vote
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Asante mkuu kwa elimu, naomba kujua katika maeneo ya baridi kali kuna design naweza kufanya ili kuzua kupotea kwa joto la ndani ya nyumba hasa kipindi cha usiku? Au kuna namna gani nyingine naweza kufanya (any system installation s) ili kuingiza joto ndani ya nyumba??
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hali ya walimu ni mbaya serikali wapeni kipaumbele

    Uongo mtupu 1.Mtihani haijasahihishwa mwezi mzima ni wiki mbili tu wametumia 2. kiwango hicho ulichotaja ni uongo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya AC, feni & Air Cooler?

    Jamani mie bado mshamba wa AC naomba mnitoe ushamba swali langu ni hivi Unaweza kufunga AC kwa nia ya kuongeza joto ndani ya nyumba hasa kwa miji ya ya baridi kali kama Njombe, Makambako na Arusha?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria, mtalaka wangu hataki nione watoto

    Mkuu Asante kwa ushauri 🙏
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

    😄😄😄
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipa wakati mgumu

    Fact!👍
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria, mtalaka wangu hataki nione watoto

    asante mkuu ndio dunia
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria, mtalaka wangu hataki nione watoto

    Habari wana Jf Naomba kusaidiwa kisheria. Niliachana na mke wangu miaka miwili iliyopita, baada ya talaka aliamua kwenda mahamakani kudai mgawanyo wa mali za pamoja, na matunzo ya watoto. Mahakama ikatoa hukumu ambayo binafsi sikuridhika nayo hivyo nikaamua kukata rufaa katika mahakama ya...
Back
Top Bottom