Kipi bora kati ya AC, feni & Air Cooler?

Kipi bora kati ya AC, feni & Air Cooler?

Ac hivi vikorokoro vingine ni kupoteza tu pesa bure,ila kwenye Ac jiandae kwenye umeme ukiwasha 24 hours inakula kuanzia unit 15 za umeme,ukiwasha usiku kuanzia saa mbili inakula unit 7 hadi asubuhi ni wewe tu kiongozi
Inategemea na AC unayotumia.
 
Jamani mie bado mshamba wa AC naomba mnitoe ushamba
swali langu ni hivi
Unaweza kufunga AC kwa nia ya kuongeza joto ndani ya nyumba hasa kwa miji ya ya baridi kali kama Njombe, Makambako na Arusha?
 
Jamani mie bado mshamba wa AC naomba mnitoe ushamba
swali langu ni hivi
Unaweza kufunga AC kwa nia ya kuongeza joto ndani ya nyumba hasa kwa miji ya ya baridi kali kama Njombe, Makambako na Arusha?
Heat Pump au Space Heater
 
Nina Ac sebuleni niliinua kimazabe, ni nzuri mmno komesha ya joto
Balaa lake Umeme na services ikizingua
Naiwashaga kimachale wakija wageni [emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24]
Vinginevyo ni mwendo wa feni tu

Kama uwezo hauruhusu komaa na feni tu mkuu
Hizo zingine miyeyusho tu
Air cooler nzuri ni zile zinafungwa kwenye majengo makubwa na sio hizi za kubeba za mchina
 
Back
Top Bottom