Recent content by NGABAGILA

  1. NGABAGILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili ndo jukumu kubwa la Mwanaume Kiasili. Mengine ni kuzidishiwa tu na kupewa Mzigo. Tujitambue

    🤣🤣😂 Mbona unamsema mama yako mzazi vibaya kwa kupewa mimba na baba yako muombe radhi mama yako wewe kwa kuja kumuumbua huku JF 🤭🤭 nikuambie kitu ukiandika haya mambo uwe unamfikiria na kumuweka mbele mama yako mzazi, shangazi, mkeo, bibi, dada na hata Binti yako wa kumzaa hao ni wanawake
  2. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasema hawatashiriki Chaguzi ndogo zote na Uchaguzi Mkuu 2025

    Halaaa kumbe 19-1 =1 au 19-1=18🤣🤣🤣
  3. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya Shahidi Muhimu wa Chadema kwenye Kesi ya Wabunge 19 wasio na chama , atarajiwa kuwastaafisha Maofisa wa NEC na Bunge

    Wakati wa kushangaa ukifika naomba mniamshe na Mimi 🤣🤣🤣 Mwaipaya tunakusubiri umpitie na Dogo DC ili akushangae
  4. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania Simba kufika makundi haimaanishi ubora kuliko Yanga

    Si mpenzi wa timu yoyote lakini ni jiuliza Bora kipi kuwa na timu Bora kama yanga lakini haishindi au kuwa na hiyo mbovu kama Simba halafu inashinda
  5. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania Masanja akamatwe na Kanisa lake lifungiwe kwa uchunguzi

    Ungeanza na taarifa ya hosp kwanza je alijiua au kauwawa kama hosp wanaonesha amejiua hai wengine wa Nini
  6. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania Rwanda wamedhibiti Uhalifu 95% kwa mtutu

    Kama ulikuwepo umemjibu swafi kabisa mtu kabla hujaja humu fanya ka utafiti kidogo angalia ratio ya askari kwa raia jiografia ya nchi n.k kha Rwanda na Tz wapi na wapi
  7. NGABAGILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

    Si umemuona mama yako mzazi huyo ndio mwanke wa kwanza kufanya uwajue wanawake so if mbaya au nzuri tunajua umeyapata kwa mama yako umeona eeh
  8. NGABAGILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

    Hatuwezi kukubishia kwakuwa unauzoefu aidha uliona mama yako akimfanyia hivyo baba yako au shangazi akimfanyia mjomba dada yako akimfanyia hivyo shemeji au Binti yako kwa mumewe. unapo comment vitu humu kumbuka hao wnawake ni sehemu ya maisha yako kabla hujaangalia wanawake wa jf au kwa jirani
  9. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata taarifa kuhusu IFM

    Kwa uhakika wa ajira ende diploma akiwa kazini asome alichokipania
  10. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuandika Wosia kama Mahakama inaubatilisha

    Hilo nalo neno
  11. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoibuliwa IEBC nawashauri akina Halima Mdee waweke tu mambo yalivyokuwa hadharani hakuna SIRI chini ya Jua

    Jamani yamekuwa hayo Tena si tumesema Tume ya Tanzania ijifunze kwenye Tume ya Kenya wako vizuri. Role model wanavuana nguo Tena hahaaaa mlikuwa mnasifu mwali mliyemkuta kwenye sherehe kapaka make up kuamka asubuhi toba
  12. NGABAGILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Kenya mambo ni moto

    Marekebisho kidogo Chebukati ni Nwenyekiti wa IECB sio Mkurugenzi
  13. NGABAGILA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cherera: Chebukati anaendesha Tume ya Uchaguzi kama Ofisi yake binafsi

    Tume huru IEBC hakuna uwazi Tena yetu macho na masikio tumekaa kiti cha mbele kusikiliza ya Tume Huru
  14. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Mpaka Leo unasubiri nini kuhamia kwa wenye akili wenzio Kenya mradi uage tu wakati unaondoka
  15. NGABAGILA

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wazee wa kiislamu wanaishi maisha marefu zaidi

    Nilikuwa nasubiri kusikia waislam wakifika ofisini hawawashi AC hawaletewi chai supu chapati ila wanakula mhogo na mbogamboga nilikuwa nangoja kusikia waislam hawaendeshi magari kwenda ofisini wakati wenzao wanatembea kwa miguu kwenda ofisini hahaa mwambie Dr aje na utafiti mwingine huu bado sana
Back
Top Bottom