Naomba kupata taarifa kuhusu IFM

Naomba kupata taarifa kuhusu IFM

Bless21

Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
71
Reaction score
92
Mdogo ang kachaguliwa IFM programme ya IT wakat huo huo aliomba diploma akachaguliwa DPA Dar police academy programu ya MEDICAL LABORATORY nawaza hapa aende waaap aende degree ya IT Au aende tu DPA kusoma medical lab over
 
Yeye anataka kuwa nani? Daktari au MTEHAMA akishaamua aende alikochaguliwa..
 
Daaa kwahiyo mpaka hapo ulipofika hujui unataka kuwa nani..... huna tofauti na mtu anayeoa demu wa facabook!
 
Back
Top Bottom