Recent content by nezythee

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwani mradi wa REA una matatizo gani?

    utaratibu ni kwamba baada ya rea kuingiza umeme kijijin au mahali kunakua na kipind cha miez 6 au 3 sina hakika ipi sahihi kat ya hzo bt muda huo ni kaalum kwa watu kupeleka complains yaan labda nguzo imejatiza kiwanja cha mtu au lalamiko lolote,kipindi hicho kikipita ndo wanawasha so jua mpole...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    mbeya sehem gan
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    unajua watu wanapenda kukurupuka kulea vifaranga kuna htaj tahadhali ya hali ya juu,andaa mazingira kwanza kabla ya kuanza fanya survey uone wenzio wanafanyaje jipe mda wa kujifunza den ndo uanze ukiandaa mazingira vzur utafurah na ukikurupuka utachukia kila breed tujipe muda wa kujifunza wajameni
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    kimsing hakuna specific mda maana hyomimea ikiota unaangalia ukubwa wa majan unayotaka yakikaa mda mref ndo yanakua so chakulacwapata kingi,hii ni compliment ya chakula unachowapa haisubstute so unaeza wapa chakula cha kawaida asubuh jion ukawapa hayo màjan,kuwapa majan pekee kutawanyima...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Agape sanctuary ministry shirika la kitapeli?

    Mi naona bado hujakamilisha,liko WAP kanisa na hyo interview iliishaje,hakuna aliye ajiriwa?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Mtoa mada ukute mange in hasimu wako so unamchongea atumbuliwe ili wakusaidie kulipa kisasi chako
  8. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Mh Raisi tusaidieni kuhusu JKT tunaadhirika vijana wenu

    Hiv jkt wanaajiliwa eeeh,i mean kila anaepitia ni lazma aajiriwe na serikali?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri na muongozo kuhusu biashara ya mifuko ya plastic na ile ya karatasi

    Gunia zle zinashonwa kwa katani au unamaanisha vroba vkubwa?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kibati hakilipi, mnajidanganya

    Kibati na kikoba ni tofaut[emoji4] [emoji4]
  11. N

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yafanikiwa kuingiza meli kubwa

    [emoji15] [emoji15] Asa ulitaka ishushe hadi makontena ambayo hayaj tanzania?hii ni sawa na safar ya mwenge mbagala,kila mtu anashuka kituo chake
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wanaotuhubiria juu ya demokrasia ni wanafik na wanatucheleweshea maendeleo

    Yaan ukitaka usiendelee enfekeza the so called democracy n human rights
  13. N

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ununuzi viwanja: TSh 20,000 ya fomu huwa inaenda wapi?

    Well said,ni chanzo cha mapato na pia inatumika kwenye other expenses like wino wa copy na muhuri,
  14. N

    JamiiForums Tanzania Makamu wetu wa Rais Super Duppa!

    Nampenda huyu mama jamanii[emoji7] [emoji7] [emoji7]
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hii pekee ipo Rwanda

    [emoji3] [emoji3]
Back
Top Bottom