Fidelis Gregory
Senior Member
- May 25, 2015
- 147
- 51
Ukweli naomba niulize maana sasa nashangaa saana kuona watu wanaleta Transformer inafungwa alafu inakaa miezi haifanyi kazi ukweli rea hapo mnapepesa macho au kama wameshindwa kazi wawape TANESCO.
Huku mkoa wa geita, geita vijijini eneo la Nkome karibu na RUBONDO transformer kama tano zimefungwa tu lakini wananchi hawana umeme.
Naomba kama kuna kiongoz atasoma uzii huu aje aangalie wakazi wa center hii wanahitaji saana umeme maana ni eneo linalokuwa kimaendeleo.
Je ni haki kuacha transformer haifanyi kazi wakati kuna watu chungu nzima wanahitaji umeme?????