Recent content by Nezara

  1. N

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

    Je utanipenda siku nikiwa sina chapa, Je utanipenda au ndo utanitenga? Mike Tee mnyalukolo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kapoteza tuzo moja ya Channel O

    Le mutuz Le mbembez
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mdahalo Azam Two: Wagombea ubunge jimbo la Kawe

    Huyu wa ppt maendeleo anasema Kawe wanalima matikiti atajenga kiwanda cha kutengeneza juisi ya tikiti. Atajenga fly over kwa kupata pesa toka ughaibuni
  4. N

    JamiiForums Tanzania Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Hii ni sayansi mkuu ukifunga unasababisha stress kwa mpapai ambapo mbegu ya kiume hufa
  5. N

    JamiiForums Tanzania CRDB ni Moja ya Benki zenye huduma mbovu sana

    Kenyatta branch hapa Mwanza kuna mkaka mmoja na mama mtu mzima wananyodo wako hapo reception nilijaza fomu wakaichukua akaiweka akaenda kupiga story baada ya muda namuita ananiuliza nikusaidie nini?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka stori/mtu gani katika majarida makali ya zamani Tabasamu, Sani na Bongo?

    Bongo kulikuwa na story inaitwa kwa Mungu Mbali, Mlinzi wa zamu na full beki bob mikwara alimchota mtama wa haja Mapungo na mpira ukaisha kuna wakati walienda kucheza Madrid. Daah nimekumbuka mbali sana
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Sijawahi fika Bunda wala Serengeti boss
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Siko hapa kupinga ila nilikuwa natoa tukifanyacho kwetu Asante.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Nyanya hybrid tuna tylika eden kilele anna kipato assla moyo na zingine toka rick zwan opv ni nyingi hoho kuna tycoon na pepite c and y wonder.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Sawa boss wangu hapa kwetu Mlali na Mgeta twatumia hizi ili plant population iwe sawa. Siko hapa kupinga Na katika uzi huu niliona spacing ya 150 toka tuta mpaka tuta ni kubwa pia 40 kwa 40 hizi sio kwa bush nyanya sie hata hoho twatumia 45
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Spacing ya 150 ni kubwa sana. Kwa hybrid nyanya recommended spacing ni 60 kwa 90 hapa ikiwa na maana mche mpaka mche 60 ma mstari mpaka mstari 90. Kwa nyanya za OPV tumia spacing ya 50 kwa 70.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

    Tangazo la chai jaba ila ile mikatuni
  13. N

    JamiiForums Tanzania Taqwa bus operations

    Huyu sio le mutuz le bahari angekuwa ameshaandika le bus la masafa marefu full le kiyoyozi mazafantaz hawawezi routes ndefu yo know naingiza hela we cheza na keyboard tu ha ha ha ha
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Nunua Actelic 300SC hii hutumika kwa kusafishia majengo na itamaliza tatizo lako kama una nyumba kubwa litre moja haizidi elfu 45 utapima mils 300 za dawa kisha unachanganya na maji lita 20. Lakini kama una chumba kimoja nunua Icon haizidi sh. 12 tatizo lako litakwisha.
Back
Top Bottom