Sony experia P,ile inbuilt whatsapp icon imetoka,haipo kabisaa,najaribu kudownload upya kwa playstore inaleta msg that an error occured in brackets(403)...cjajua wanamaanisha!nifanyeje niweze kuidownload upya niwe online kama mwanzo!!help plz
habari,naomba msaada wa kitaalamu niweze kutatua tatizo la kutoka damu wakati wa kupiga mswaki,pia ni aina gani ya toothpaste nitumie kuondoa tatizo au kama mtu anafahamu professional hospital that naweza kwenda wakanisaidia...tatizo limeanza ghafla tu,naomba msaada jmn,naboreka sana...Thanks.
..unataka kuacha shilingi moja ya kila siku kwa laki moja ya kupita...ckushauri umwache au kumuumiza mkeo,she is already ur wife,mwache huyo mliesoma nae ili naye apate wake hafu aone uchungu wa kupendwa nusunusu kama wew unavotaka kumfanyia mkeo..
Nataman kujua kilugha changu cha kinyakyusa jaman,the bad thing is naskia tu kuitikia sasa kimbembe..sina bibi,babu nor aunties wakunifundisha basi naishia kudakia hicho hicho cha baba na mama wakiongea...kama leo najickia kweli kuongea kinyakyusa jmn ila dah!kujibu sasa ndo mbombo jilipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.