ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
Mkuu hapo Red Hujamuelewa mleta maada
Yeye kasema kwa waliograduate ila hawana ajira
Ni bora mda huo wakautumia kuomba nafasi ktk udereva huku wakiendelea kutafuta nafasi nzuri zaidi sawa na taaluma zao!
Pamoja mkuu!
majigo nakupenda kwakua u mwelewa sana, na unajua jinsi ya kudadavua kitu kinachoandikwa, big up! mleta mada nimekupenda coz we ni mmojawapo wa watu ninaotamani wawepo katika jamii yetu kwa sasa, ukimwambia mtu fanya kile kilichopo mbele yako ambacho ni halali wakati unasubiri ajira uloomba watu wanasema tunakatisha watu tamaa, anaeona anakatishwa tamaa aache ila yule anaeona ni sawa achangamkie nafasi yake,.mbona hata jirani zetu hapo kenya tu achilia mbali nigeria, viongozi wengi tu wa serikalini wanaendeshwa na wasomi wenye elimu zao tena wengine ni wanawake. naunga mkono hoja 100%