Recent content by ney kaaya

  1. ney kaaya

    Wale tunaolala peke yetu tukutane hapa

    :rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes: duuuuuuhhh
  2. ney kaaya

    Katika amri 10 za Mungu sidhani kama hizi 3 aliziweka yeye bali ni viherehere vyetu tu sisi Wakristo

    mbona maandiko yanaonyesha wazi kabisa kuwa amri zote kazitoa Mungu au umeamua tu kuandika soma kitabu cha kutoka mlango wa 19 wote na wa 20 wote utadhibitisha nani mtoa amri na pia soma kumbukumbu la Torati 5:1-22 iko wazi kuwa Mungua ndio aliyezitoa amri zote kabisaa ubarikiwe unapoendelea...
  3. ney kaaya

    Mwanamke mwenye uhitaji wa ndoa huwa sio king'ang'anizi

    siku zote usipende kualalisha jambo kwa kupitia makosa ila jifunze kupitia makosa.
  4. ney kaaya

    Nampenda sana mke wa rafiki yangu

    umempenda au umemtamani? Etii umempenda mke wa mtu kwa ujasiri kabisa khaaaaa vijana achen tamaa heshimuni ndoa za wenzenu umeshajaribu kuvaa hivyo viatu ingekuwa ni wewe rafiki yako amempenda mkeo?.
  5. ney kaaya

    Happy birthday to Jr

    heri ya siku yako ya kuzaliwa broo
  6. ney kaaya

    TANAPA yaongeza tozo za viingilio vya wageni kwa mara Nyingine tena ndani ya Mwaka moja

    duuuh na wasiwasi wewe utakuwa sio mtanzania kabisaaaaaa kwa hali hii bado watanzania tuna safari ndefu sana.siku ukipenda kujua hifadhi zetu ziko chini ya nani usisite kutembelea ofisi za TANAPA, TATO, TTB hizi zote zaweza kukuelezea vizuri ukaelewa ubarikiwe unapoendelea kujifunza.
  7. ney kaaya

    TANAPA yaongeza tozo za viingilio vya wageni kwa mara Nyingine tena ndani ya Mwaka moja

    upotoshaji kama hujafanya uchunguzi huna haki ya kuzungumzia jambo unataka kutuaminisha hifadhi sio zetu ni za wazungu hivi watanzania tuna shida gani alafu umeshawaza unachoandika hapa kinafikiwa na watu wangapi huku ukipotosha mbuga zote ziko chini ya mamlaka ya hifadhi ya taifa Tanapa.na zote...
  8. ney kaaya

    TANAPA yaongeza tozo za viingilio vya wageni kwa mara Nyingine tena ndani ya Mwaka moja

    hata hivyo imepanda kwenye campsite tu na sio park fees
  9. ney kaaya

    Umejifunza nini kwa tukio la Arusha la fumanizi

    acheni kutetea dhambi.
  10. ney kaaya

    Umejifunza nini kwa tukio la Arusha la fumanizi

    Yakobo 1:15 tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti tamaa mbaya ni vema tuwe na mioyo ya kuridhika na vile tuvipatavyo kwa wale watupao kama haitoshi fanya kazi uongeze lasi hivyo utavuna Rumi 6:23
  11. ney kaaya

    Ndivyo ilivyo, hata mimi nilikuwa kama wewe.!

    hiyo mamlaka umeitoa wapi?
Back
Top Bottom