TANAPA yaongeza tozo za viingilio vya wageni kwa mara Nyingine tena ndani ya Mwaka moja

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Tanzania national parks (TANAPA) wameongeza vingilio na malazi kwa wageni wanaoingia na kulala kwenye Makambi huko kwenye mbuga za wanyama. Tukumbuke ndani ya mwaka huu 2017 wameongeza VAT kwenye vingilie na malazi Camping je utaratibu huu niwakubomoa?
Tanapa 1.jpg
Tanapa2.jpg
 
Waongeze tuu! watalii maskini hawatakiwi ktk mbuga zetu wana zichafua na kuzifanya zichakae. Ktk conservation lazima ufikirie na jinsi mbuga zinavyofanya replenishment! waende kwa majirani:(
 
Sisi tunataka feza boy zao.wakiona ada ni kubwa waende pale masai mara kwa wale jamaa wenye tabia za kujisifia eti wanajua kingereza kuliko kikuyu.
 
wazungu wametuibia sana madini yetu wacha turudishe pesa zetu kwa kuwabana kwenye kuona wanyama wetu tena iongezwe Zaidi hiyo tozo bado ndogo haitoshi
 
Ni sawa tu, wacha waendelee!! Tena hiyo mbona ni kidogo sana? Wangeweka 100 kabisa!!
 
Hata kama niukamuaji sio huu nect year watapanda tena hahahahahahahahah poor Tanzanians
 

Attachments

  • TANAPA FIXED RATES CONCESSION FEES GN_ FINAL GN_ 194.pdf
    365.5 KB · Views: 104
Wafanyie kazi wazo la Tundu Lissu kuhusu kuboresha na kuzifufua au kuziongeza museam na pia kuzi fanyia promo ili watalii wazijue na kwenda kutembelea hali itakayo saidia kuongeza mapato kwa serikalini.
 
Hizi ni DATA ZA serikali-- Wizara Mali asili na Utalii

Tangu mwaka 2014

Pato la Taifa: 17%

Forex ni 25%

Projection 2020:-

PATO 30%

FOREX 40%

Je Kwa nini hadi 2017, namba zimebaki hizi hizi...Kwa nini hazikuwi?

Tumekwama:

Kenya ni Sungura na Tanzania ni li Tembo -- Tunaweza kusema tunashindana na Kenya?

Kwa nini Kenya watushinde au washindane na Sisi?

Hivi Kenya wana Mlima Mrefu kuliko yote Africa?

Kenya kuna Ngorongoro?

Selous mbuga kubwa kuliko zote Africa lakini haina watalii

Serengeti ni kubwa mara dufu ya Masai Mara

Wachangiaji hapa JF, please changia kwa kufuata haya maswali 2: Sio Lazima uchangie

---Tumekwama Wapi?

Na Tufanye nini tusonge mbele kufikia Malengo ya Taifa?
 
Wapinzani wa Tanzania kama wamerogwa au wanasahu haraka.. Nakumbuka zamani walikua wanasema sana oooh serikali kila siku inaongeza kodi katika vileo, inaacha kuongeza katika utalii huko, sasa hivi wamegeuka
 
Tanzania national parks (TANAPA) wameongeza vingilio na malazi kwa wageni wanaoingia na kulala kwenye Makambi huko kwenye mbuga za wanyama. Tukumbuke ndani ya mwaka huu 2017 wameongeza VAT kwenye vingilie na malazi Camping je utaratibu huu niwakubomoa?
View attachment 513767 View attachment 513768


Hao wanaongeza mara nyingi siyo tanapa bali ni Wazungu wenyewe wanajiita friends of Serengeti na lengo ni kuzuia mass tourism isiharibu ecosystem, isitoshe Serengeti inaendeshwa na Frankfurt Zoo ya Ujerumani kwa miaka mingi tu na hao ndiyo wenye maamuzi!
 
Back
Top Bottom