We Bi Nyakomba, kwa eneo hilo unalosema, bei hio ni kubwa sana! Hapo mbele kidogo, Lukobe kuna plot kubwa za mpaka 2000 sqm manispaa pale unakula kwa 3m -4m depending on your ability to negotiate! So weka bei ya soko tuongee......!
PAYE = PAY AS YOU EARN! Lipia kadiri upatavyo,=the higher you earn the more you should pay tax=>progressive tax! No question about that? The issue is why should only employees in the formal sector should pay as they earn while the public services they get such as healthy, water, education...
Unachagua kazi wewe....acha kuomba kazi za Chief accountant, Finance Manager, CFO, CEO etc.....jifunze kwanza bwa mdogo.....! hizo kazi hata ungekuwa na GPA ya 5 huzimudu.....!
....Dadangu Moderators wameificha thread kule kwenye Msiba wa Zanzibar, sijui wamehusianisha vipi haya matukio mawili, so members wengi wameshindwa kuiona ile thread kwa sababu imefichwa kule.....pengine Moderators hawajapenda wazo lile? to me it was better wangeidelete tu kuliko kuipeleka...
Mods: kuna thread nimeanzisha ni kitoa wazo la namna ya kumuenzi dada yetu Chetuntu lakini sielewi kwa nini imeunganishwa na ile ya JF ITOE POLE KWA WAFIWA WA ZANZIBAR! Case ya dada yetu ni tofauti kabisa so ningeomba muirudishe mlikoitoa kwa hakuna uhusiano kati ya kifo cha Chetuntu na ajali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.