kiwanja kinauzwa Morogoro

Hivi sekondari ya Tushikamane ambayo ipo njia ya kilakala karibia na mat*ko bar? au ni lile iliyopo mazimbu-rodi kihonda?

nataka nifaham ili km vip tuongee dili.
 
Dah kweli mikoani maisha matamu, hiyo bei si sawa na kodi ya nyumba ya mwaka sinza.. Tena nyumba ya rums 3 tu ya kawaida, itabid tuamie mikoani wadau,

jaman serikal tuwekeen train za umeme dar tuwe tunakuja kazini asubuh then jion tunarud zetu mikoani
 
Hivi sekondari ya Tushikamane ambayo ipo njia ya kilakala karibia na mat*ko bar? au ni lile iliyopo mazimbu-rodi kihonda?

nataka nifaham ili km vip tuongee dili.

Sekondari ya Tushikamane wanasema Kihonda, kwa Morogoro Kihonda ni kubwa sana, kuna Kihonda, Kihonda kwa Chambo, Kihonda Kilimanjaro nk sijui ndio Kihonda Tushikamane ila unakatiza njia ya Mazimbu kama unatokea Kihonda kwa Chambo alafu utakutana na njia panda ya kuelekea Shule ya Sekondari Tushikamane. Kwa kifupi huko hakuna umeme wala maji, ila kwa hiyo bei ukienda Manispaa utapata kiwanja maeneo mazuri zaidi ya hapo tena kwa bei nafuu zaidi ya hiyo kwa ukubwa kama huo.
 
Asante babu, sema nao then, nidekishie, bei inapungua
Haya Bi nyakomba popote ulipo, hebu msome Mtumpole hapo chini.....

Sekondari ya Tushikamane wanasema Kihonda, kwa Morogoro Kihonda ni kubwa sana, kuna Kihonda, Kihonda kwa Chambo, Kihonda Kilimanjaro nk sijui ndio Kihonda Tushikamane ila unakatiza njia ya Mazimbu kama unatokea Kihonda kwa Chambo alafu utakutana na njia panda ya kuelekea Shule ya Sekondari Tushikamane. Kwa kifupi huko hakuna umeme wala maji, ila kwa hiyo bei ukienda Manispaa utapata kiwanja maeneo mazuri zaidi ya hapo tena kwa bei nafuu zaidi ya hiyo kwa ukubwa kama huo.

Kama atakuuzia kwa 4.0m hapo sawa.
 
Last edited by a moderator:
We Bi Nyakomba, kwa eneo hilo unalosema, bei hio ni kubwa sana! Hapo mbele kidogo, Lukobe kuna plot kubwa za mpaka 2000 sqm manispaa pale unakula kwa 3m -4m depending on your ability to negotiate! So weka bei ya soko tuongee......!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom