Recent content by Newmoney

  1. N

    Msaada: Mkono unakosa nguvu vidole viwili vya mwisho havina nguvu

    Shukran sana boss Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    Msaada: Mkono unakosa nguvu vidole viwili vya mwisho havina nguvu

    Shukran mkuu. Mazoezi ya aina gani. Kesho nitaenda Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Msaada: Mkono unakosa nguvu vidole viwili vya mwisho havina nguvu

    Nafanya kazi za officin. Hii ilitokea juzi nilikaa kwa kuukandamiza mkono chini hapa mwisho wa kiganja kwa muda mref baadae ndio nikaona hili tatizo baada ya kuinuka Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    Msaada: Mkono unakosa nguvu vidole viwili vya mwisho havina nguvu

    Habar JF Doctors. Nimepata tatizo la mkono kuishiwa nguvu hasa vidole vili vya mwisho nashindwa kuvinyòosha vizuri. Baadhi ya watu nilioqauliza wanasema inaweza kuwa 1. Ulnar nerve compression 2. Numbness Please naomba msaada. Shukran Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    Naomba ushauri kilimo cha mahindi maeneo ya Bagamoyo/ Msata

    Habari ya muda huu wadau, Nafikiria kuanza kilimo cha mahindi ili kuangalia upande mwingine wa fursa za kutika kimaisha. Nimepanga kutafuta mashamba maeneo ya Bagamoyo au Msata kwa ajili ya kilimo cha mahindi. Naomba ushauri juu ya haya: a) Aina ya mbegu ambazo ni nzuri kupanda kwa maeneo hayo...
  6. N

    Msaada wa Sheria pale kampuni inapofungwa

    Habari ya mda huu wadau. Mm ni mfanyakazi katika kampuni moja hapa dar es salaam. Kampuni ninayofanya kazi inafungwa si kwa sababu imefilisika ila ni kutokana na garama za uendeshaji na kodi kua juu. Kampuni imetoa notice ya mwezi mmoja. Yani tarehe 25/6/2019 walituita wafanyakazi wote...
  7. N

    MSAADA WA KISHERIA

  8. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wataalam hapa kuna matumain kweli??
  9. N

    Bongo action movie

    Wale wananaopenda action za bongo hapa ndio uwanja wetu. Taja action movie unayo ikubali kutoka bongo. Mimi. 1. BAGA Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
  10. N

    msaada jins ya kubadili jina la acount yang

    Hata mm nataka nibaduli... uyo invisible anapatikana wapi?
  11. N

    Maombi Yenu Kwa Abiria Huyu Yanahitajika...!

    Hamna cha auto apo... ww jua yupo suffering tuu
  12. N

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung j7 good condition haijafunguliwa haina tatizo lolote 450,000
  13. N

    Utatu wa maajabu ya anga leo usiku (usiku wa Ijumaa)

    Full moon nimeona izo mambo nyingine nlilala
  14. N

    Nini tatizo la Mwili kuwasha sana?

    Leo ni siku ya 5 Natumia maji ya barid na sabun ya deto kuoga.
  15. N

    Nini tatizo la Mwili kuwasha sana?

    Naomba msaada mwili umekua ukiwasha sana leo siku ya nne nimejarib dawa za alej lakin bado
Back
Top Bottom