Msaada: Mkono unakosa nguvu vidole viwili vya mwisho havina nguvu

Newmoney

Member
May 1, 2015
17
2
Habar JF Doctors. Nimepata tatizo la mkono kuishiwa nguvu hasa vidole vili vya mwisho nashindwa kuvinyòosha vizuri. Baadhi ya watu nilioqauliza wanasema inaweza kuwa

1. Ulnar nerve compression
2. Numbness

Please naomba msaada.

Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, Ni kazi gani unafanya kila siku. Ni kazi za Ofisini? Ni vifaa gani unatunia kila siku kutekeleza majukumu yako? Ukitoa majibu sahihi wataalam watakujibu kitaalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, Ni kazi gani unafanya kila siku. Ni kazi za Ofisini? Ni vifaa gani unatunia kila siku kutekeleza majukumu yako? Ukitoa majibu sahihi wataalam watakujibu kitaalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafanya kazi za officin. Hii ilitokea juzi nilikaa kwa kuukandamiza mkono chini hapa mwisho wa kiganja kwa muda mref baadae ndio nikaona hili tatizo baada ya kuinuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kwanza ulipaswa uende hospital na kisha baada ya kuanza tiba (kwa ushauri wa Dr) ndipo sasa ukuje kuanzisha uzi hapa.
 
Mazoezi yanaondoa hilo tatizo, kikubwa ni kufika hospitali bila kuchelewa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom