Msaada wa Sheria pale kampuni inapofungwa

Newmoney

Member
May 1, 2015
17
2
Habari ya mda huu wadau. Mm ni mfanyakazi katika kampuni moja hapa dar es salaam. Kampuni ninayofanya kazi inafungwa si kwa sababu imefilisika ila ni kutokana na garama za uendeshaji na kodi kua juu.

Kampuni imetoa notice ya mwezi mmoja. Yani tarehe 25/6/2019 walituita wafanyakazi wote wakatuambia kampuni itafungwa tarehe 31/7/2019.

Naomba msaada wa kisheria ni haki zipi nastahili kuzipata. Ukiangalia kua hatukupewa mikataba mipya tangu mkataba ulipoisha April 2018. Aina ya mkataba tuliokua tunapewa ni ya mwaka mmoja mmoja Then tumekuja kupewa mkataba mpya June 2019 ambao si wa mwaka mmoja bali wameandika mkataba unaanza April 2018 till lawfully termination.

Natanguliza shukrani zangu kwenu wadau.
 
Aisee

Hali mbaya ya uchumi tunayoiona among ourselves ni kutokana na accumulation ya series ya BAD DECISIONS made by his holiness Jiwe!

Kibaya zaidi ni kwamba bad decisions are always made without even knowing..

Bad decisions are so lethal,they cause deaths to citizens!

I wonder
 
Back
Top Bottom