Acheni kutapeliwa na namba za wezi wa mitandaoni ili kufanikisha goli la mkono, km umejiandikisha una wasiwasi gani subiri tarehe ukapige kura yako. Au nenda kituo uicjoandikisha ukuhakiki hapo kwenye daftari. Msije juta bure.
CCM sio wazembe kiasi cha kufanya huu upuuzi.labda dj mangi ndo...
teh teh! Ukiona wanaanza kujadili vyuo ujue hawana ajira! Mbona cc tumesoma vyuo vya kata lakin tuna GPA za maana na tumewapiga hatrick kwenye interview! Poor mind think no big! Halaf hii tabia nilikuwa nayo pr scool na nilisha iachaga tangu form2!
Taanza nia yetu yawakulimaa na wafanyakaziii! Enzi hiz pr scool!
Tanzania itajengwa na wenye moyo! Haya twenden kijijini tukajenge nchi yetu! Tudumishe azimio la arachuga! Lakin kwa hizo shahada elfu tano za kijijini unategemea tufikie malengo ya millenia kweli?
Haya twenden tufuate...
Naomba msaada wa kisheria hapa. Hawa jamaa wa kikosi cha zima moto wanapita katika maduka hapa babati na kuwalazimisha watu watoe hela Tsh 40,000/= kwa ajili ya certificate ya usalama wa moto. Wanadai wanafanya hiv kulingana na sheria ya jeshi la zima moto na uokoaji Na 14 ya 2007, kifungu cha...
mwakyembe nae tapeli tu. Kama unakumbuka alisema kuna mambo mengine hatujayasema kulinda heshima ya serikali. Heshima gani hiyo baada ya waziri mkuu. Kura yangu,na kura za familia yangu zote kwa lowasa. La sivyo kura zangu zote napeleka chadomo kwa silaa ingawa mimi mwana ccm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.