Full Text: Hotuba ya Edward Lowassa aliyotoa katika Uchangiaji wa Saccos ya CWT na Kukusanya 1.27bn

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,045
1,225
Apo ndipo ninapomkubali lowasa yupo strong kutetea anachokiamini na si kigeugeu au mpma upepo kama wenzake...ma presdent 2015 is LOWASA Kwa kweli silaha nakukubali sana lakini ili jembe lowasa tulipe nafasi kwanza
Silaha au SLaa?

Ukishampa nafasi Lowassa kuna Slaa tena hapo?
 

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,766
2,000
The leader.......2015 kama Rais lazima atoke CCM basi ni Lowassa. Zaidi ya hapo CCM watashindwa hata kwa Dovutwa Fahmi Dovutwa
 

Newland

Member
Oct 20, 2012
29
0
Hakujiuzuru alifurushwa na Mwakyembe.
mwakyembe nae tapeli tu. Kama unakumbuka alisema kuna mambo mengine hatujayasema kulinda heshima ya serikali. Heshima gani hiyo baada ya waziri mkuu. Kura yangu,na kura za familia yangu zote kwa lowasa. La sivyo kura zangu zote napeleka chadomo kwa silaa ingawa mimi mwana ccm.
 

mtungutu

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
296
0
Nyie midimu a.ka. vijana wa mzee wa kung'oa kucha mna stres lowasa aingii ikulu kutapanya kilichopo kama bosi wenu hana njaa na aingii ikulu ili akaamishie watoto wake ikulu...eti msaidi wa nyerere alileta hotuba huyo si kipaza sauti cha kna sita wanampa buku 7 kutokana na kuganga njaa kama wale vijana wa nape eti Nyerere kwani nyerere alkuwa Mungu nchi hii kiongoz imara alkuwa sokoine na waltofautiana sana na nyerere cz nyerere alkuwa hashaurki na aliona sokoine anamzd uwezo sokoine alshajiuzulu zaid ya mara 2 nyerere akamuomba arudi so nyerere si Mungu ni bnadamu na kzazi kpya tunataka maendeleo na watu strong kama lowasa si wanaolialia kama kna membe na sita, pia nyerere altofautiana na karume pia na mzee mtei muasisi wa chadema, nyerere alkuwa hashaurki na alkuwa aksema lowasa ni kijana mkorofi...lowasa ni jembe na ni mtu anayeweza kuwavusha watanzania kwenda kwenye neema kwa sababu ni jasri na anasimamia anachokiamn pia anataman maendeleo kwa kila mtu
LOWASA siyo kiumbe wa kupewa madaraka kama URAIS wa Nchi hii. Asitudanganye kwa pesa alizotuibia tangu enzi za Uhujumu uchumi ambao uliasisiwa na E.M.SOKOINE. Kajimilikisha pesa kiasi cha kutengeneza daraja kubwa kati yake na wananchi wa kawaida. Binafsi simpendi na nitajitahid kuitumia nafasi niliyonayo kuwashawishi vijana wamkatae endapo atateuliwa kweli kugombea Urais.
 
Top Bottom