Yaani wanaanda kuwapumbaza watu, kujifanya wanajua kila move ya watz.. Aliyopitia Mpina kwenye bunge yote ni maandalizi ya Samia? .... Liangalie jambo kwa urefu wake... Hizi ni cheap propaganda .... Wameona hawa ndio waliopo wanatafuta sababu... Kama vile kwa Polepole , ile barua ni feki...
Huyu jamaa aliwekeza sana kipindi kile , kama Lowassa angepata uraisi... Alivyokosa , jamaa alipauka sana, hata hali yake ilikuwa ngumu sana...... Sasa kapata shavu kwa awamu hii, ndio maana anawaona wenzake si kitu ...
Mtu kulipwa kiwango hicho cha mshahara, kinaashiria tatizo kubwa zaidi kwenye jamii yetu.. Watoa huduma, unafikiri hawatawaweka watu wa vipato hivi kwenye mipango yao ? Serikali yetu inapoongelea dira ya 2050 , imewajumulisha na makundi haya ya watu ??? Usifikiri hili ni tatizo lake tu ...
Miaka 33 ni umri mzuri, ambapo mwanamke anakuwa amepata ufahamu wa kutosha kuhusu ndoa, maisha na kila kitu... Ingawa mimi si mmoja wapo, ungekuwa tayari kimawazo au kutarajia kupata na kulea watoto haraka haraka, endapo neema ya Mungu ipo.. Ni Hayo....
umefanya uchunguzi ni wewe tu anakuongezea vitu au kuna wengine? Pengine ni tabia yake kwa wateja wake ... Chunguza kama ni wewe na uangalie anaongezea wa jinsia ipi?
Asante kwa bandiko hili zuri... Kama una kitu chochote cha ngoreme , mfano wapi pa kupata vitabu au machapisho yoyote online au offline ... itakuwa msaada zaidi.... Shukrani kwa andiko hili ambalo limejitosheleza sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.