Kaka Idegenda nchi yetu ni sipo majority! Hata akimpita kwa kura moja kaseeepa huyo. KATIBA PENDEKEZWA ndio ingeweza fanya hivyo kwa ilisema laxima apate Zaidi ya 50%+ 1. MAANAKE USIPOFIKIA WALE WAWILI WANAPIGIWA KURA TENA!
Kaka Mbalinga soooo briliant! Hiyo ndio sulihisho kwa sas!. Mfumo ndio unaweza kutenganisha Fisadi na Asiye Fisadi. Je mmesoma Gazeti kuhusu Rais wanaoliopwa Zaidi Afrika? Namba Tani yupo Kikwete Je huu sio ufisadi kulipwa Dola 190,000+ wakati Taifa lako watu wake maskini wa kutupwa? Mwenzake...
Jaman Hebu tusaidiane kuelimisha watu! Kuwa na wabunge wengi inasadia 50% 50 kuondoa ubwenyenye wa CCM. Hebu fikiri changamoto zinazotoelewa na upinzani au hebu vuta picha wakati wabunge wakiingana kusemea hoja fulani Serikali inavyo haha! Je tukipata hiyo 50%50 si nchi yetu itasonga mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.