singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,531
1. Mazingira ya Kisiasa visiwani Zanzibar yamekuwa bora kuliko awali kabla ya Muafaka kati ya CCM na CUF
2. Nchi yetu iko salama, mipaka iko salama. JWTZ imefanya kazi na Jeshi letu limeimarishwa nyanja zote, Jeshi letu lina utayari wa kivita kwa kiwango cha hali ya juu. Weledi umepanda kwa kiwango kikubwa
3. Demokrasia, imeimalishwa mpaka kufikia hatua wanasiasa wanaandamana, wanatoka nje ya Bunge.
4. TAKUKURU imepewa meno ya kudhibiti na kupambana na Rushwa. Ina ofisi kila Mkoa na kila Wilaya
5. Mafanikio makubwa, mapato ya Serikali yameongezeka. Bajeti ya Serikali imekuwa mara 5 ya mwaka 2005 ilivyokuwa, Tumepunguza utegemezi wa misaada katika Bajeti toka 42% hadi 8% kwa kusimamia ukusanyaji mapato, Pato la Taifa limekua kwa 7%, Tanzania ni miongoni mwa mataifa 20 Duniani yenye uchumi unaokua kwa kasi IMF wanasema Pato la Tanzania ni kubwa kuliko walivyodhania. Tumebakiza kidogo sana kuingia kwenye Nchi za Pato la Kati .
6. Taarifa za CAG zinapewa uzito mkubwa na hatua huchukuliwa. POAC/PAC imefanya kazi nzuri. Pale inapobainika kuna wizi, hatua za haraka kuwajibisha wahusika zinachukuliwa hata bila kusubiri kuwasilishwa Bungeni.
7. Hati zimeongezeka Serikalini tokana na utendaji mzuri wa Ofisi ya CAG pia imejili vijana wenye CPA zaidi ya 780 na kuwasambaza nchini.
8 Ongezeko la Majaji wa Mahakama ya Rufani toka 8 hadi 16. Majaji wanawake wameongezeka toka 8 hadi 37 majaji wakazi 1,266 na kati yao majaji wanawake ni 534 mrundikano wa kesi utakuwa historia katika muda mfupi ujao tokana na ongezeko la majaji na mahakimu.
9. Ujenzi wa Mahakama kila Mkoa unaendelea katika Mikoa 9. kutenganisha kazi ya Upelelezi na Kushtaki
10. Kila mwaka tumeongeza kima cha chini cha mshahara toka TZS 65,000/= (2006) hadi TZS 300,000/= (2015)
11. Vyuo vikuu kulikuwa na wanafunzi wa kike 10,000+ mwaka 2005 na sasa wamefikia 78,000+,Idadi ya wabunge wanawake imeongezeka toka 62 hadi 127 sasa!
Itaendelea