Tena ni mateso makubwa mno ambayo yamekuja muda ambao pesa ilikuwa inahitajika sana kwa ajili ya kugharamia usimamizi wa mitihani ya kitaifa kidato cha pili na cha nne. Watu imebidi wakope na wenye unafuu wametumia pesa zao za mfukoni
Sheria iko wazi sana kuhysu hili,kila mtu ana bima ya maisha ambayo ina thamani ya pesa za kitanzania milion 200 au kifungo cha maisha jela kwa mtu au kundi lililotekeleza mauaji hayo. Hivyo kwa sababu hatutaweza kuwafunga jela maisha polisi wote walikuwa mahali pale,inabidi maboss waliowatuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.