Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,357
- 108,493
Utubu kwa kosa lipi labda la kuiweka Sisiemu madarakani kwa maana ukitazama tawala zote zilioandikwa na mleta mada, Sisiemu is the common intersection ukiacha kwamba wote ni binadamu...Hakika..!!! Inahitajika toba ya nguvu
Hao mabwana waliikabidhi nchi yako kwa miungu ya dunia hii, katika ulimwengu ambao wasio haki huuendea...
Ushahidi wa yote hayo upo katika matamshi ya hotuba kadha wa kadha zilizopo maktaba, wahusika wakieleza kwa namna mbalimbali ambavyo walivyozikwa na mbuzi wakiwa wazima, walivyolala juu ya makaburi n.k na yote hayo yalifanyika kwa niaba ya NCHI...
Hivyo hatma ya nchi ilishajengwa juu ya misingi ya tawala za giza ambazo lazima ziendelee kulipwa sadaka...
