Recent content by neo1

  1. neo1

    Ripoti ya Pentagon 2020 kwenye Bunge la Marekani: Uchina ina jeshi kubwa la maji kuliko Marekani, Tanzania yatajwa

    Mkuu habari... Nimeupitia tena huu uzi... Je Uchina ina jipanga bado, maana kwa kitu kilichotokea wakati spika wa bunge la Marekani alivyo enda Taiwan Kwa nguvu ijapokuwa China ilikataa...
  2. neo1

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu kuhusu Iran an drone pata muda wako wapitie... Wana drone nzur kuliko hizo Kamikaze, Nyingine ni reverse engineering ya ilizozikamata,nyingine za kwao wenyewe.. Kwa mfano ile drone waliyoitungua kipind cha trump walienda kuiopoa kwenye maji... Tena walimpiga mkwala Marekani kwamba ana...
  3. neo1

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wimbo wa THT Milele na milele kuna bui bui mle ndani...
  4. neo1

    Iran yazima jaribio la kushambuliwa shirika lake la nishati ya atomiki na hakuna chochote kilichotokea

    Katika nchi ambazo zimepitia wakati mgumu ni pamoja na Iran na Israeli 1>ni nchi ambayo ilikuwa ni Koroni la Muingeleza,baadae ikapigania uhuru wake,ila Uingeleza iliendelea kuinyonya iran kwa mafuta.. Ila wakati kuo Iran ilikuwa inaongozwa kidemocrasia. Marekan kupitia CIA walifanya mapinduzi...
  5. neo1

    Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

    Hivi nan amesikia neno "Tanzania haijawahi kushindwa vita.." unga dot na kinachoendelea kusini. So inaweza kuwa bahati mbaya na kuwaita wahuni??? Muda ni hakim mzur saana.
  6. neo1

    Misri na Sudan kuanza mazoezi ya kijeshi ya pamoja dhidi ya Ethiopia

    Hivi huu mtu Nile si unaanzia Ziwa Victoria kwa nini na sisi tusitengeneze Bwawa kubwa kwa ajili ya kusambaza maji ya kunywa kata ya ziwa mpk Dodoma. Maana sisi wenye asilimia kubwa kwenye hilo ziwa hatufaidiki nalo, ila wengine huko wanatoana roho na sisi tumekaa tu kizembe
  7. neo1

    Uchina yarusha Satelaiti angani kujaribu teknolojia ya 6G

    Lakin mzee nimesoma kwamba hii project kutoka labda 2026... ila mataifa ya Ulaya yenyewe kama watafanikiwa watatoa 2030. Ivyo ngoja tuone.
  8. neo1

    Piganieni kupata Haki zenu kupitia wabunge watakao wawakilisha bungeni kwa hoja zitakazobeba msingi wa CHADEMA

    Naomba kujua kama bunge la 11 lilikuwa na wabunge 141 na chachu yao haikufanya changes yoyote.. unadhani upinzani hawa 19 wataenda kufanya nin kipya... Watu wameona democrasi iliyofanyika Hawa 19 wataenda fanya tuchelewe maendeo.. wataenda kupinga tuu. Kwa sasa tuwaache hiyo 5 tuone...
  9. neo1

    Korea Kaskazini yalipua Ubalozi wa pamoja waliokua nao na Korea Kusini, mwendo wa kumwaga mboga na unga

    Uchambuzi unaonesha ni kama Kim wame mtuliza kwa sasa dada mtu amechukua hatam Yeye ndo anasema na kuamua kwa sasa Watu wanaanza kupata mashaka na zile tetesi za kwanza kwamba mwamba hali yake sio nzuri. Na hapo dada ndo anajitambulisha Na pia wanasema huyu sister ni mtu na nusu anasimamia room...
  10. neo1

    Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU

    Huyu Askofu aguswe aandike kitabu.. Ntakuwa wa kwanza kununua.. Ana falsafa nyingi saana Ni hatari saana mtu kama huyu kuondoka bila kuacha maandishi kwenye kitabu
  11. neo1

    Scientists are warning us of the dangers of 5G. Are we going to heed their advice or shut them out and face more serious consequences than COVID-19?

    Me ningeomba kujua,America mbona hawana 5G lakin ndo cases nyingi??, same as France, Uingeleza ndo imeanza kuweka 5G lakin figure yake iko kawaida?? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. neo1

    North Korea yarusha makombora mawili ya balistiki

    Ila mkuu kumbuka na ninyi kama dunia mmemuwekea vikwazo kila secta... Hamkumpa nafasi ya kukaa na ninyi,uchumi,kijeshi,kijamii ivyo na yeye anafanya anayoona yanamfaa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. neo1

    Nimegundua udhaifu mkubwa sana wa Serikali ya Tanzania katika kukabili suala la COVID-19

    Mbaya mwamba alipoingia hela ya majanga hakuna.. Zaman chakula cha akiba kilikuwa kinanunuliwa cha kutosha,ila mwamba alisema hatoi chakula wakati wa majanga... Ivyo Corona ikishika hatam, watu watakufa na Corona na njaa pia.. Tuombe Mungu ipite pembeni. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. neo1

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    idris elba ; This morning I tested positive for Covid 19. I feel ok, I have no symptoms so far but have been isolated since I found out about my possible exposure to the virus. Stay home people and be pragmatic. I will keep you updated on how I’m doing [emoji1477][emoji1477] No panic. Idris Elba...
  15. neo1

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Corona virus pandemic. Italy [emoji634] - 27 980 infected. - 2 158 dead. - 7.7% death rate. Spain [emoji633] - 9 940 infected. - 342 dead. - 3.4% death rate. France [emoji632] - 6 633 infected. - 148 dead. - 2.2% death rate. USA [emoji631] - 4 348 infected. - 73 dead. - 1.7% death rate...
Back
Top Bottom