Recent content by Nelson Ngowi

  1. N

    Mjue Nyangumi (Whale): Sifa, uwezo na maisha yake

    Huyu nyangumi nibalaa, ilanataka ufafanuzi wa kina umesema nyangumi anaishi miaka 200 na kwa lisaa anaongezeka kg3. 7 huoni kwakipindichota atakachoishi atauwa na zaidi ya tani laki 76723200? Na vp uume wake km korodani ni kubwa kiasi hicho? Mimba anabeba kwa muda gani?
  2. N

    Ndala(Kandambili) na Bangili zatumika kusafirisha DAWA za kulevya

    Hii ni balaaa!! Kweli kuna kazi yakupambana na madawa haya yakulevya. Mungu atusaidie. Hapa wamestukiwa watabuni mbi umpya.
  3. N

    TRA wafuatilie utoaji wa risiti kwa wafanyabiashara kupunguza udanganyifu

    Kuna jambo linalonishangaza sana juu ya hii TRA na wafanya biashara. TRA wanajitahidi sana kukusanya kodi na kujisifu kuwa wamekusanya kodi kubwa kwa kipindi kifupi. Hakika kama wangefuatilia baadhi ya wafanyabiashara wasio waamifu watagundua kuwa hawafanyi chochote. Rais Magufuli alisema...
  4. N

    RC Makonda kuleta wachina kuzoa taka na kutengeneza Madawati

    Kachelewa saana. Alipokuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni alifanya nini ktk eneo hilo la usafi? Hiyo ni danganya toto tu. Acha tuone
  5. N

    Hivi ni kwanini maswali ya Kipima joto ITV huwa ni marahisi sana!!?

    Hi inaonyesha kuwa wayoaji wa haya maswali uwezo wao wakufikiria ni Mdogo saana.
  6. N

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    Ar tulishajiongeza hata waweke chupa ya Maji ya uhai. Iandikwe tu Chadema tunaipitisha
  7. N

    Hivi inawezekana kwa msichana aliyepo chuo kikuu 2nd year kuwa bado ni bikra?

    Inawezekana. Km unafikiri kuwa wasichana wote wana tabia km zako unajidanganya sana. Ni kipimo gani unachotumia kuwapima km wanayo au LA! Na kwatabia yako hutakaa ukilutane nayo.
  8. N

    Msaada: Natafuta annointing water ya T.B Joshua

    Nyie watu. Nani aliewaloga? Hiyo anointing mnayoitafuta kwenye Maji ni yanamna gani na nikwanini iwepo kwenye Maji ya Tb Joshua? Mtegemee Roho mtakatifu ndie Maji yako yenye nguvu za uponyaji. Km unauwezo wakulipa $50 kwaajili ya Maji zitoe sadaka kwa wahitaji na umuombe Mungu atakufungulia...
  9. N

    Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

    We unaongelea kodi za kumbi za starehe tu. Hujaona kodi za nyumba. Wapangaji wanalipa hela nyingi sana kwaajili ya nyumba walizopanga. Nu shilinhi ngapi Tz inapoteza. Huyohuyo anaelipwa anailalamikia serikali kuwa ni wezi,Mara wanasamehe kodi kitendo kinaipotezea nchi mabilions ya mapene. Yeye...
  10. N

    Maneno KUNTU ya Julius Mtatiro kwenda kwa Magufuli na CCM

    Walijikaanga kwa mafuta yao wenyewe. Walidhani miaka yote itabaki palepale na ufisadi wao. Na bado. Mm c ccm ila kwa hiz cku chache namkubali,ila haijawa kipimo cha utendaji wake kipimo miaka miwili akiendelea HV! Tz itanyooka. Hawapumui!!!!!
  11. N

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Swala LA ukabila na ukanda su jambo lakuongelea, Nenda duniani kote eneo ambalo anatoka mgombea Fulani anapata kura nyingi kuliko wenzake. Kwahiyo usije shangaa wasukuma wako sawa. Mm c ccm ila hiyo ni hali halisi
  12. N

    Aibu kwa TBC1 na Taifa kiujumla

    Umeenda na kalam au zipo?
  13. N

    Mwanza Tete; Vijana Wa CCM Wang'oa Bendera za CHADEMA

    Hakuna haja yakugombana nao kwaajili ya bendera ni vitambaa ambavyo havipigi kura.. Lamuhimu kawadhibitini kwenye sanduku LA kura. Kwanini mshindane nao?
Back
Top Bottom