Recent content by Nelson mlokozi

  1. N

    VIDEO: Kafulila azomewa na kushushwa jukwaani, Kigoma

    hakuna kwenye iyo video walipozomewa ao ulio wataja.umejilekodi mwenyewe ukizomea tena ata aliyekuwa anaongea sio kati ya ao ulio wataja.inshort umezomea wewe na siyo hadhira yote
  2. N

    Nauza mkaa bei chee na kwa nyongeza, tunakuletea mpaka ulipo Dar es salaam

    magunia ya saizi ya kati nauza 50000 plus kukuletea ulipo,kumbuka gunia ilo ilo wengine wanauza 54000.Gunia kubwa kabisa la shanga mbili na ngazi tatu kwa jina maarufu kabuluma nauza 70000 wakati gunia ilo ilo wengine wanauza 80000 mpaka 85000.mkaa wangu ni chuma kaka kitu toka chole.store ndogo...
  3. N

    Nauza mkaa bei chee na kwa nyongeza, tunakuletea mpaka ulipo Dar es salaam

    Haya jamani mnishike mkono kijana wenu au kijana mwenzenu kwa kununua mkaa wangu. Pia asanteni kwa wale wote mliojitokeza Tandika soko la Sterio kununua Matikiti yangu maana nyie ndio mlionifanya nikapata pia na mtaji wa kuanzisha biashara ya mkaa. Kwa anayehitaji Mkaa, Maoni na Ushauri...
  4. N

    Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

    kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimekutana na mtu mwenye mitazamo kama yangu.kaka na tufanye sasa.naamini inawezekana..0659942454-namba hiyo imesajiliwa kwa jina la kike ila mimi ni kijana wa kiume.
  5. N

    Legal method

    Wadau mwenye manual ya legal method iliyo andikwa na mukoyogo na makaramba anisaidie
  6. N

    Hivi mafia iko zanzibar au tanzania bara?

    Mafia iko ndani ya mkoa wa pwani Tanzania bara na ni moja kati ya wilaya sita za mkoa huu nyinginezo ni rufiji,mkuranga,kisarawe,Bagamoyo na kibaha .
  7. N

    Vijana wa Chadema Mwalikeni Malemo

    Mleta mada abadili hapo siyo malemo..ni julius malema.
  8. N

    Vijana wa Chadema Mwalikeni Malemo

    Ni julius malema ..huyo ni kiongozi wa vijana wa ANC ambaye wazee wa chama chake wanamuona kama mtu hatari na adui kwao eti tu kwa kupinga ubeberu,na kupinga watu wachache hasa wazungu kunufaika na rasilimal za south africa na africa kwa ujumla.
  9. N

    Vijana wa Chadema Mwalikeni Malemo

    Kaka nakuunga mkono kwa asilimia mia moja...HAKUNA KUSHINDWA,HAKUNA KUJISALIMISHA,NA HAKIKA TUTASHINDA.
  10. N

    Chadema yakamata ngome ya ccm kyaka.

    Cdm tumeshinda uchaguz wa mwenyekiti wa kijiji cha Burifan kwa mgombea wetu ndugu.DEOGRATIAS LAURIAN Kupata kura 401 uku mgombea wa ccm ndugu mathias kibarwiga akipata kura 129 na Mgombea wa TLP ndugu plasid Vedasto akiambulia kura 2.katika eneo ilo wanatoka vigogo wa ccm kama mbunge wa Nkenge...
  11. N

    Chadema yakamata ngome ya ccm kyaka.

    Cdm tumeshinda uchaguz wa mwenyekiti wa kijiji cha Burifan kwa mgombea wetu ndugu.DEOGRATIAS LAURIAN Kupata kura 401 uku mgombea wa ccm ndugu mathias kibarwiga akipata kura 129 na Mgombea wa TLP ndugu plasid Vedasto akiambulia kura 2.katika eneo ilo wanatoka vigogo wa ccm kama mbunge wa Nkenge...
  12. N

    Breaking News: Soko lateketea Tandahimba

    Mwalimu j.k nyerere alipata kusema AMANI NI ZAO LA MATUMAINI NA MATUMAIN YAKITOWEKA AMAN HAKUNA...ao watu wanafanya vurugu coz wameshapoteza matumain,..na mwl j.k nyerere aliongeza tena kwa kusema "WAKATI WENGI WA WANANCHI WANAPOPOTEZA MATUMAIN UNAJENGA VOLCANO NA VOLCANO HIYO LAZIMA ITALIPUKA...
  13. N

    Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

    Ibara ya 8 ya katiba inasema mamlaka yote yatatoka kwa wananchi(raia)..na ibara hiyo ndio msingi wa falsafa ya chadema ya nguvu ya umma.
  14. N

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Prof. Shivji amesahaulika hapo.
Back
Top Bottom