Ushauri wangu kwako
Kama umechoka kuishi na kupambana na life ukiwa Tz bora uende South Africa ambako kwanza ni jirani na Tz pili kuna fursa nyingi kuliko huko Mozambique ulipokuwa tatu ukishindwa huko ni rahisi kurejea nyumbani hata kwa bus au Lori na mwisho bado utakuwa uko Africa hata...
Ni ajari niliyoikuta maeneo ya Tabata majira ya saa sita kasoro usiku huu wa Feb 22, 2018
Majeruhi ni huyo aliyekuwa kwenye gari dogo lililo katikati ya hayo maloli na inasemekana ni mwandishi wa habari wa gazeti mojawapo hapa nchini na alikimbizwa Hospitali ya Muhimbili.
Naona ni Mungu ndo...
1. Miezi 6 huna mahusiano.
2. Huyo ulokuwa naye walirudiana na mwenzake mwezi wa nne
Mpaka leo ni miezi 10 .
3. Unataka wa kukupoza au wa kuanzisha naye mahusiano? Maana kichwa cha habari na paragraph ya mwisho vinapingana.
4. Uliwezaje kukaa kwenye mahusiano miaka 4 pasipo kugundua...
We mtoa mada ni mchonganishi.
Naendelea kutafakari kwa nini umeamua kuchonganisha watu na serikali yao pendwa.
Huwezi ukabadilisha jina kirahisi. Mchakato wa kubadili jina huchukua miezi si chini ya mitatu na kuendelea maana lazima jina hilo litolewe kwenye government gazette kitu ambacho si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.