454
Senior Member
- Apr 23, 2017
- 136
- 193
Habari wakuu wa JF,Mimi ni Mtanzania mwenzenu nimehangaika sana kutafuta maisha Mozambique,Malawi.pia Nimefanya kazi Daresalaam lakini kutokana na elimu Yangu ya darasa la Saba napata kazi ngumu sana na malipo kadogo.Nimeamua kutoka nje ya Bara la Afrika nikahangaike huko Nchi za Asia tafadhali mwenye kujua Nchi zipi rahisi kuingia yaani hata kama ni kwa Visa basi iwe rahisi kuingia kama ilivyo Dubai.Natanguliza Shukrani kwa atakaenipa maelezo