Recent content by Nelly Huyu

  1. Nelly Huyu

    Help please

    Better put your CV humu ndani pengine watu wanaweza saidia
  2. Nelly Huyu

    Namuonea huruma cousin mwanamume wake kampa zawadi ya kitenge

    Kazi kweli kweli......mimi naona huyo aliyetupia hii issue humu ndani ni kamalaya fulani hivi so kanataka na cousin yake awe kama yeye. nyambafu!!! Muuuza M...NDU wewe!
  3. Nelly Huyu

    Battery Low!!!!!

    we mkare
  4. Nelly Huyu

    Huyu jamaa kazini au kamuingilia mkewe?

    Kitendo cha kutokujua kama yule ni mkewe tayari amezini kwani fikra na mawazo yake yalikuwa juu ya mwanamke mwingine na si mke wa ndo so kwa ufupi jamaa amezini na huyo mwanamke amezini pia.
  5. Nelly Huyu

    TETESI: Wema A Sepetu amtosa Diamond

    Hii ya leo kali.
  6. Nelly Huyu

    Chama gani mbadala kwa CCM?

    usijifanye ujui.......ni CHADEMA
  7. Nelly Huyu

    Kubemenda...

    Kubemenda mara nyingi hutokana na joto la mama na haswa linalosababishwana mimba..ndio maana waswahili hushauriwa wasifanye tendo la ndoa for at least 6 months..hii ni kwasababu katika kipindi hicho ambacho mama amejifungua mzunguko wake uvurugika na hivyo ni rahisi kupata mimba tena...hivyo...
  8. Nelly Huyu

    Kuna aliyewahi kukutana na hii hali?

    Huyu **** inaonyesha Hajawahi kufurahisha mwanamke, na ameshapata nyepesi nyepesi za chumbani kuwa mtu ukimfurahisha mwanamke lazima akushkuru. sasa huyu jamaa nafikiri anataka kujua HOW IT FEELS WHEN A WOMAN SAY THAT TO YOU. Nitakuambia leo.....IT FEELS GREAT....Kwasababu kazi ulipewa, au...
  9. Nelly Huyu

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Tatizo hapo si age ndio maana hata ulipomuambia kuwa umemzidi mwaka mmoja hakuona tatizo ila alipokuja gheto na kugundua kuwa si mmoja ila ni miwili ndipo alipoona kuwa wewe ni tatizo...so jifunze kuwa mkweli Tatizo ni wewe si umri. Pengine jamaa anamalengo mazuri na wewe ila sasa tawezeje ishi...
  10. Nelly Huyu

    Inakuwaje Mambo haya??

    Never rush in love for it never runs out. Let love be the one to knock at your door, so by the time you start to fall, you know that your feeling is for sure.
  11. Nelly Huyu

    Nitawezaje Kukabiliana na Majaribu Haya?

    AU umeshamega wewe ****...na unataka kujiridhisha tu humu ndani? maana unang'ang'ania tu kwamba haiwezekani kulala tofauti badala ya kufanyia kazi unayoshauriwa. kwanza hata kama haujamega kitendo cha kulala na mwanandoa ni usaliti tosha kwani lazima utazini kifikra wewe kama unaona...
  12. Nelly Huyu

    Haluwa Haina Makombo.

    Kweli huyo kitu huwa haina makombo ila ukitawaliwa na wivu lazima utahisi uliyonayo ni makombo na ukizidi zaidi utachimba mpaka utaona ni matapishi na si makombo tena ila kimsingi HUWA HAKUNA MAKOMBO other wise usinge zaliwa unadhani aliyekuleta hapa duniani alikutwa BIKRA na baba yako. MAKOMBO...
  13. Nelly Huyu

    Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    Dada yangu siwezi kukuambia umuache japo ni wajibu wako kufanya hivyo...huyo ameshindwa kujilea sembuse kulea familia..uliona wapi mtu anamaliza mshahara kwa wiki mbili, siku zote yeye ni ombaomba..tafadhali kuwa strong katika hili na ufanye unachotakiwa kukifanya...mzalie uone moto...kwani...
Back
Top Bottom