Kubemenda... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubemenda...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIJANI, May 21, 2011.

 1. K

  KIJANI Senior Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Habari wanajamvi, kama tujuavyo kila mmoja wakati ukisogea huhita kuwa na jiko...hivyo yatupasa kufahamu baadhi ya mambo mhimu ndani na nje ya hilo jiko. Hvyo jamani mimi leo niko hapa kuombeni mnifahamishe kwa kadiri mjuavyo kuhusu hili neno "KUMBEMENDA MTOTO" ndo nini maana yake? Maoni yenu plz...
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Maana yake Mkeo akizaa, inabidi usinaniliu naye mchezo wa kibaba. Kama mwaka hivi so mtoto aweze kuwa na afya.
   
 3. CPU

  CPU JF Gold Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Umelisikia wapi hilo neno??
  Maana naona kama kilugha fulani hivi, na sio kiswahili
   
 4. z

  zamlock JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  jaman hata mimi naweza pata jibu hapa kwa sababu nina mtoto wa miezi miwili ila watu wananiambia nisiduu na mke wangu mpka baada ya miezi sita na wala nisitoke nje jamani ni kweli haya mtoto anaweza bemendwa asiwe na afya
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We nawe kama umeshaambiwa maswali mengine ya nini?!?!Maana hutaki kuamini ulichoambiwa hata ya hapa unaaweza usiamini!

  Nwy kama hali ya mama inaruhusu chezeni tu kibaba baba ila hakikisheni mimba haipatikani kwa sasa mpaka huyo mlionae akue
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Dogo mama aliejifungua au anae nyonyesha kutoka nje ya ndoa hivyo humfanya mtoto kuwa na afya mbovu,sometimes huchelewa au hata kutokutembea,kwa baba mwenye mtoto hii inamuhusu kidogo kwani anaweza kumdhuru mtoto lakini kidogo tofauti na mama kwani baba akitoka huko kabla hajamshika mtoto akioga tatizo linakuwa limeisha,ila sio jambo zuri kutoka nje ya ndoa kwa wanandoa wote muwe na mtoto ama la,heshimianeni!!!!
   
 7. Nelly

  Nelly Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kubemenda mara nyingi hutokana na joto la mama na haswa linalosababishwana mimba..ndio maana waswahili hushauriwa wasifanye tendo la ndoa for at least 6 months..hii ni kwasababu katika kipindi hicho ambacho mama amejifungua mzunguko wake uvurugika na hivyo ni rahisi kupata mimba tena...hivyo ningependa ufamu kuwa mama akishamaliza siku arobaini tangu ajifungue unaweza kutana naye kimwili ila jitahidi umwage nje au kama huwezi utumie condom..pamoja na hayo yote tukirudi kwenye mada ya kubememda hata joto la miili yenu mara baada ya kufanya mapenzi au maji maji yatokanayo na ngono si mazuri kwa mtoto na huweza sababisha hali hiyo. unachoshauriwa muwe wasafi kadiri muwezavyo katika hili..yaani msimshike mtoto baada ya ngono mpaka mtakapooga na kuwa safi hata shuka mlilotumia ni vyema makabadili..kubemenda saa nyingine kunaweza sababishwa hata na house girl kama ana mimba bila ya wewe mama kujua. kumbuka joto la mwenye mimba si zuri kwa mtoto.
   
 8. K

  KIJANI Senior Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nelly, appreciate u!! Pamoja na wachangiaji wengne kuchangia vzr bt u make it clear to me. Thanx again, nimejifunza kwa sana...tuendelee kuelimishana.
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kuni , mafuta ya taa na kibiriti....
   
 10. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nyie endeleeni kudanganyana tu....
   
 11. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  nelly umenifumbua macho mana dah? I dont thnk hii kitu
   
 12. p

  peacebm Member

  #12
  May 22, 2011
  Joined: Jan 31, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii iko kisayansi zaidi, kwa uchunguzi niliofanya,

  Let's take example: Lizy unapotaka ku-do na mwenzio mnaanza kwanza romance na pale wote at least mnasisimka, unalegea, unaloa, then mnaanza kulana.

  so as unaposhikwa na kusisimka, na kulegea pale kuna CHEMICAL REACTION which takes place inside your blood, ambayo inabadili hata ile PROTEIN iliyoko kwenye maziwa so na hivyo unapomnyonyesha anakuwa anakunywa maziwa ambayo was converted to mo than milk ndo mana yanamdhuru mtoto.
  ANGALIZO: Nawashauri watu kama Lizy na Kijani pindi mnapokutana na hao baba watoto jizuieni/jikazeni msilegee wala kusisimka ili chemical reaction isi-take place, otherwise mkishindwa kujizuia basi pindi mmalizapo tendo hilo kuu ukaoge na ukae kama saa3 ndo unyonyeshe na pia zuia kupata mimba, ........otherwise g9t loo......ls
   
 13. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hapo ndio nimepata jibu.
  "kwanini wazungu wanawachongea watoto toka wakiwa wachanga vitanda vyao pia maana ya master bedroom kuwa na bafu?"
  Lol, hiii mambo bwana.
  Ninamkasa kuhusu haya mambo ya kubemenda, sikuelewa mpaka uliponitokea huu mkasa......
   
 14. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Lizzy, upo?
  Hii mifano sasa ndg "peacbm"
  Ila nimekusoma...... ahsante kwa mfano wa vitendo.
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  Nimeona...ila itanifanya nikumbuke vizuri siku yakinikuta!!!
   
 16. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Ndo unataka kutibu nini hapo m-dada?
   
 17. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  There is nothing like kubemenda.
  Hizi scenarios ni "kupika" tu.
  Mama akiwa mjazito mtoto angali mdogo, ataachishwa kunyonya kabla ya muda, lishe itakayokuwa substituted isipokuwa balanced plus mtoto akiwa na shida ya weaning (kuanza kula vyakula vingine) ni wazi atapata utapiamlo.
  Ukuaji utaathirika, developmental milestones will be delayed la la la la la....
   
 18. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  wizi mtupu, stori za walenga za kutufanya wababa tusitembee na wake zetu waliojifungua na kuhalalisha kuwa na wake wengi kama mbadala....
  usafi ni kila kitu, mi mke wangu tulianza kufanya kamchezo mtoto ana wiki6..mpaka sasa ana miaka2 na afya baab kubwa.
   
Loading...