Recent content by nejje

  1. nejje

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "unaweza ukasoma maneno ya quotes km ww, na ukawaambia wenzio km ww na ukawa km mm nilieamua kukaa kimya" hayo najinukuu binafsi
  2. nejje

    JamiiForums Tanzania Walokole wengi nuksi sana

    UKWELI ni kwamba hili suala hajalifikisha mahali HUSIKA. huku amekuja kusimanga. na kama anasoma post yangu, namshauri aachane na mambo ya watu. yeye mwenyewe anayo mengi ya kuacha na ya kufanya pia
  3. nejje

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    hi, Gari kuwa na mis ndio aje?
  4. nejje

    JamiiForums Tanzania Kwa mageneus tuuu

    jibu hapo ni 92.want to know? nifate ndani nikuelezee.
  5. nejje

    JamiiForums Tanzania Enzi za. wazee wenzangu wa mwaka 1990

    "Mzee wa watu katoa kiasi cha mboga kulingana na uwezo wake, Kashangaa? Kuona anakula vitu vya bei ya juu, Kuliko gharama alizotoa" ..... haka kanyimbo alikaimba nani na kanaitwa jee?
  6. nejje

    JamiiForums Tanzania Happy Father's Day 2016

    inafanyika majira gani kila mwaka?? help please
  7. nejje

    JamiiForums Tanzania Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

    jiongeze. usikurupuke kuna watu wazima hapa. utakuwa fala we haya tu.
  8. nejje

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno Mstahiki?

    Makamu, naibu, mstahiki na kaimu?
  9. nejje

    JamiiForums Tanzania Anaejua kuhusu chuo cha St. Francis Health and Allied Scieces

    Mhahahahah...... Duuh Optico utaua!
  10. nejje

    JamiiForums Tanzania Sifa za kufanya mtihani wa kidato cha sita 2017

    hey, what I know is km hakufanikiwa kutengeneza credit (grade C) combination ya masomo ya masomo ma3 ni dhahiri hatochaguliwa. wanachokifanya ni kwamba ktk C tatu za mdogo wako ili afanye km school candidate NI LAZIMA ktk masomo ma3 ya combination, mawili awe na "grade C". mfano PGM, lazima...
  11. nejje

    JamiiForums Tanzania Information and Communication Technology

    Habari zenu! Ningependa kuuliza kwa hawa wataalamu na wanaosoma ICT. vyuo accredited by NACTE vinatutaka waombaji tuwe na maamuzi sahihi ya course sababu once umejaza course huwezi kuibadilisha mbeleni. Swali: kuna tofauti kati ya Computer science na Computer engineering?
  12. nejje

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa watumiaji wa smartphone jipatie application ya sola katika simu yako

    sasa wewe simu haina PANEL utawekaje juani halafu ichaji? unakuwa Abunuwasi
Back
Top Bottom