Recent content by negro kushitic

  1. negro kushitic

    Cassper Nyovest ft Diamond Platnumz - My heart

    Uteam diamond na uteam kiba mnauleta huku utoto huo fnyeni mambo ya msingi
  2. negro kushitic

    Tuache Kuforce Mambo, Mziki wa Kisingeli hauna Ladha

    Hauna radha afu matusi mengi unaaribu kizaz sasa watoto wetu wajua hakunaga ushemeji c watachinjwa watt wetu hapo baadae huu c mzk mzur kbx
  3. negro kushitic

    Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

    Kwahiyo kiswahili siyo lugha ni mavi tu sindio? Badala ya kushawishi mataifa mengi yajifunze ksw we unaongelea kiarabu! Nan akaombe kaz kwa hao wabaguz wa rangi hivi hamjui kinachowakuta Dada zetu wanaopelekwa huko uarabun kufny kaz? MNA boa xn post zenu
  4. negro kushitic

    Rais wangu Magufuli nakushauri ujiuzulu, watanzania msinichukulie vibaya

    Yaani Cjui umetumwa na nan! Mbn unapenda fujofujo na kuingilia kaz za watu.au we unataka urais? Haya sasa mwenzio ndo huyooo anashinda tuzo za fobes na hata wabongo msipo mpigia kura kenya ,Burundi, Rwanda,Uganda watampigia tu ndo uone maajabu hayo
  5. negro kushitic

    'Who created God' is an Illogical Question!

    Kwa kujib hv mi nahc upeo wako wa kujb maswali au kumuelekeza mtu mi msg xn xn
Back
Top Bottom