Recent content by Negamsi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya kiume Vinapatikana

    Hauna size ya watoto? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya hormone imbalance

    Sipo Arusha Mkuu ila ni wale wanaouza (DFP) Dawa ya meno kwa Arusha ni kona ya Mbauda Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya hormone imbalance

    Sipo Arusha Mkuu ila ni wale wanaouza (DFP) Dawa ya meno kwa Arusha ni kona ya Mbauda Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya hormone imbalance

    Mi nilipata Arusha petrol station ya Njake wana duka lao Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya hormone imbalance

    Tafuta Dawa inaitwa Joy ya mchungaji mmoja huwa anarusha kipindi chake star TV inasaidia sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Ni kweli kuna mtu mwingine anatumia cheti chake lakini hakumpa yeye kwa ridhaa yake alishaitwa kutoa maelezo na baraza wakampa barua kuonyesha kuwa ni Cheri chake halali
  7. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Kuna mtu nimesoma nae olevel ameonewa alimaliza mwaka mmoja mbele yangu yaani roho inaniuma sana Nina uhakika hajafoji sijui namsaidiaje?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kafa kaoza kwangu lakini muathirika wa UKIMWI

    Uangalie moyo wako unakwambiaje! Mimi ninaishi na VVU na Mme wangu hana maambukizi lakini tunaishi kwa Amani tuligundua Nina maambukizi kipindi cha ujauzito. Baada ya kugundua mi nilitaka tutengane ili nisimuambukize lakini yeye alikataa ndoa ni ngumu maana ukweli mahaba yanapungua ni mnaishi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kero tunazopata kwenye Nyumba za kupanga

    Sipendi tabia ya kuomba mboga
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tuambie hapa neno gani unatamka zaidi kwa siku

    Samahani
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wahudumu Sabilo(ZACI) Dispensary ni shida!!

    Ukienda bila no eti wanakucharge elfu tatu ili kukutafutia fail.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nimekuta akaunti yangu ina nyongeza ya kufuru la fedha

    Kuna mtu kapiga mahali kapumzisha hapo asome ramani hamishia kwenye akaunti nyingine
  13. N

    JamiiForums Tanzania Faraja Nyalandu ametisha sana

    Najiungaje?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kupona Ukimwi

    Du kwahiyo masikini tufe tu hakuna namna
  15. N

    JamiiForums Tanzania Anaetaka kubadlisha kituo cha kaz aje Dodoma nije Dar... Wilaya yoyote

    Kada gani Dodoma Wilaya gani?
Back
Top Bottom